Yaliyotokea UDA ndiyo yatakayoipata Simba.

Yaliyotokea UDA ndiyo yatakayoipata Simba.

Pale Singida kina Mo wanamiliki majengo mangapi. Hapa Tanzania Mo anamiliki viwanda vingapi. Yaani yale Maghorofa mawili pale Msimbazi ndiyo unataka kusema yamemfanya Mo atake kuwekeza kwenye Klabu ya Simba?
hata sijui . kilichomtoa singida na kuifuata simba .. nafikiri mfanyabiashara ana mawazo mengi
 
hata sijui . kilichomtoa singida na kuifuata simba .. nafikiri mfanyabiashara ana mawazo mengi
Simba ni biashara ikiwekezwa vizuri tofauti na Singida United. Nadhani aliwekeza Singida United kwa kuwa na ile dhana ya "Unyumbani" na kumbuka kuwa wakati ule alikuwa ni Mbunge wa Singida kwa ivo inawezekana pia ilikuwa ni mambo ya siasa.

Kuwekeza Simba ni uwekezaji mzuri lakini si kwamba Simba yenyewe ilivyo hivi sasa ina thamani hiyo ambayo wana "Sunderland" wanataka watanzania waamini kwamba ina thamani kubwa kiasi hicho.
 
Nashukuru wanabodi mmejaribu kuwajibu hawa ndugu zetu wa jangwani na hoja zao dhaifu.

pia wana yanga wajue. Maendeleo ya simba yatawanufaisha nawaopia. Maana yataleta ushindani wa kimaendeleo ya mpira nchini.

ni wajingatu wanao shupalia jambo hili badala ya kuangalia Impact ya maendeleo ya soka nchi.

nawakumbuka ni hawa hawa walikua wanaiombea mabaya simba kwenye champions legue. Lakini hawakujua kufanya vizuri kwa simba kimataifa kungekuja kuwapa fursa ya wao kuwakilisha nchi kimataifa.

watu wa yanga ni watu wa hajabu sana mfano wao sijui niwafananishe na nini?

ndio maana walingangania yusufu manji wamlie hela zake akashtuka akataka kuleta mabadiliko ya kimfumo kama walivyofanya simba wakina mzee akili mali wakaleta mizengwe. Leo yanga ni yakutembeza bakuli? Haibu sana.
 
Aweke kwenye club hizo bil 20 .. simba ni kampuni kama nyingine.

Makubaliano sio hayo.. anatakiwa kutia bil 20 na bodi ya simba isaini makabidhiano.

Pesa za mshahara alizitoa, posho, zawadi, maradhi, safari nk msimu ulioisha zinazidi gharama hata ya hizo rasilimali unazoziongelea.

Hivi unafikili gharama za kuendesha timu kama simba kwa mwezi ni Shilingapi? Unafikili ni mchezo Jibu zuli watakupa omba omba fc.

Moo alitukuta tukiwa dhoofu lihali hatuwezi lipa hata nishahara ya wechazaji, pamoja na rasimali zetu izo unazoziongelea
 
Makubaliano sio hayo.. anatakiwa kutia bil 20 na bodi ya simba isaini makabidhiano.
Mmoja wapo ya kazi ya billion 20 ni pamoja na kutengeneza uwanja wa Bunju na kuuweka nyasi bandia na vyumba vya kisasa vya kubadilishia nguo amabao Jana ulisikia by the end of august vitakuwa tiyali.

Billion 20 zitaweka ni swala la muda lakini si kama yanga wanavyotaka. Lengo lao na lako ni kum frustrate Mo atoke kwenye reli kama manji alivyotoka.

Janja yenu tumeigundua, mashabiki tunataka matokeo uwanjani mambo ya mali sijui asset hayo sio yetu sana
 
Kwani mapato ta simba hatuyajui.. mfano zile bil za mashindano ya africa pamoja na ubingwa wa TPL zimeenda wapi.

Usijitoe akili

Kilomoni uwez binasha na hela wewe endelea kulalia hati ya simba alafu sisi wanasimba tunasonga mbele
 
Makubaliano sio hayo.. anatakiwa kutia bil 20 na bodi ya simba isaini makabidhiano.
Hivi we mjinga katika maisha yako ulishawahi kuziona hata million 100 tu cash.!?? Hata km siyo zako yaani kuziona tu zimewekwa mahali na wewe ukazishuhudia!?? Kwa akili hizi ulizonazo,wewe utakufa bila kushika hata milioni 10 taslimu. Bilioni 20 ni rahisi tu kuzitype kwenye maandishi. Hizo ni pesa kama unazisomba kwa kutumia carry yenye uzito wa kg.500 inarudia zaidi ya mara 6. Hizo ni pesa unaweza kujaza chumba kizima hupati hata sehemu ya kupita,halafu unataka mtu azitoe tu bila utaratibu. Wewe kwa akili yako unadhani Mo ni mjinga hadi kukubali kununua share 49%!?? Mo ili atoe hizo pesa anapaswa pia kurithi Mali za Simba zisizohamishika(Assets) pamoja na madeni. Msiwe mnajidhihirisha hapa kwenye hadhira juu ya ujuha wenu. Mtu hujawahi kumiliki hata milioni 5 unakuja kujadili bilioni 20 ambayo wewe mwenyewe una uhakika utakufa bila hata kushika hundi yenye thamani hiyo achilia mbali kuzimiliki.
 
Ebu twende pole pole. Usidanganye watu.
TPL wametoa shilingi ngapi zawadi ya ushindi?
CAF wametoa shilingi ngapi kufika hatua ya robo fainali?
Kwani mapato ta simba hatuyajui.. mfano zile bil za mashindano ya africa pamoja na ubingwa wa TPL zimeenda wapi.

Usijitoe akili
 
Mo anataka hati za Nini? Kwenda kukopea bank? Alijiingiza kwenye mkonge na mashamba mengine ,wadau wanasema anakopea fedha. Serikali ikasema ayaendeleze la sivyo watayachukua.

Akasema anamuachia Mungu.

Inatakiwa kuwe na utaratibu wa Kila kitu kitakachofanyika ndani ya miaka ambayo atapewa awekeze.

Inawezekana mpango upo kichwani mwake. Wanasimba wengi hata hawajui Amepewa Simba kwa muda gani.

Njaa zisifanye jamaa anyenyekewe.
 
Kwani mapato ta simba hatuyajui.. mfano zile bil za mashindano ya africa pamoja na ubingwa wa TPL zimeenda wapi.

Usijitoe akili
Wewe unaongea msimu huu ulioisha?
Haya pesa za mwaka juzi ambapo wanasimba hatukushiriki mashindano ya Africa tulizitoa wapi kina wawa,manula,boko,okwi, nk walikuja bure simba

Na hiyo pesa ya CAF kwa level ya simba sasa ivi ni kama ya usajili tu, aya mishahara posho safari watahudumia wazee wa simba,?
 
Hata Mo akiamua kuchukua mali za simba zote ziwe mali yake binafsi atajaza mwenyewe. Sisi mashabiki faida na furaha yetu ni makombe ya kitaifa na kimataifa.
Hapo ndio tutambana mo vipi muzee makombe
Hiyo mzee sijui kolomoni ni muhuni tuu,

Naunga mkoni hoja na hakika kilomoni atakufa
 
labda nikuulize swali.
MOO pale simba ni mmiliki wa simba
Au ni mwana hisa wa simba?
kati ya Simba.
Moo Ana hisa 49%. Na club ya Simba ina hisa 51.kati ya club ya Simba na moo nani anayetakiwa atoe kikubwa?
Mo anataka hati za Nini? Kwenda kukopea bank? Alijiingiza kwenye mkonge na mashamba mengine ,wadau wanasema anakopea fedha. Serikali ikasema ayaendeleze la sivyo watayachukua.

Akasema anamuachia Mungu.

Inatakiwa kuwe na utaratibu wa Kila kitu kitakachofanyika ndani ya miaka ambayo atapewa awekeze.

Inawezekana mpango upo kichwani mwake. Wanasimba wengi hata hawajui Amepewa Simba kwa muda gani.

Njaa zisifanye jamaa anyenyekewe.
 
labda wanajua moo ni mmiliki wa simba.
Yaani watu hawajui hata mfumo wa hisa unavyokwenda.
Mzee kilomoni na simba wametoa shilingi ngapi na hisa zao hizo 51?
yaani wao wanadhani moo atachukua billion 20.aweke kwenye account ya Simba.
SIMBA INATAKIWA IJIENDESHE YENYEWE
Anataka kutushika masikio uendashaji wa timu za simba na yanga ni mkubwa sana kwa mwezi

Hao yanga wenyewe walipata million 600 toka CAF lakini bado bakuli linatembea
 
labda nikuulize swali.
MOO pale simba ni mmiliki wa simba
Au ni mwana hisa wa simba?
kati ya Simba.
Moo Ana hisa 49%. Na club ya Simba ina hisa 51.kati ya club ya Simba na moo nani anayetakiwa atoe kikubwa?
Kwani hizo hisa zimeuzwa soko gani la hisa? Hizo 51%
 
Hela ili zitoke ni lazima thamani ya Klabu ijulikane. Klabu yetu ya Simba ina thamani ya shilingi ngapi?

Kujua thamani ya club ndio ushinikize kupewa hati?

Kwa nn usiombe hesabu za club kwa maana ya balance sheets za nyuma ili uone zimekaaje kuliko kushinikiza upewe hati na wewe hujatoa hata hiyo fedha uliyoahidi kuiwekeza kama hisa??
 
Back
Top Bottom