Kataa Rushwa
JF-Expert Member
- May 15, 2015
- 728
- 765
hata sijui . kilichomtoa singida na kuifuata simba .. nafikiri mfanyabiashara ana mawazo mengiPale Singida kina Mo wanamiliki majengo mangapi. Hapa Tanzania Mo anamiliki viwanda vingapi. Yaani yale Maghorofa mawili pale Msimbazi ndiyo unataka kusema yamemfanya Mo atake kuwekeza kwenye Klabu ya Simba?