ZionGate
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 6,362
- 2,991
Club yako na nan we pimbi...Uwekezaji gani wa maneno na kurudi watu kwa pesa.
Club ya simba inawenyewe.. kama hataki kuweka hizo bil 20.. basi atuachie club yetu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Club yako na nan we pimbi...Uwekezaji gani wa maneno na kurudi watu kwa pesa.
Club ya simba inawenyewe.. kama hataki kuweka hizo bil 20.. basi atuachie club yetu.
Hata Mo akiamua kuchukua mali za simba zote ziwe mali yake binafsi atajaza mwenyewe. Sisi mashabiki faida na furaha yetu ni makombe ya kitaifa na kimataifa.
Hapo ndio tutambana mo vipi muzee makombe
Hiyo mzee sijui kolomoni ni muhuni tuu,
Anataka akachukulie mkopoKujua thamani ya club ndio ushinikize kupewa hati?
Kwa nn usiombe hesabu za club kwa maana ya balance sheets za nyuma ili uone zimekaaje kuliko kushinikiza upewe hati na wewe hujatoa hata hiyo fedha uliyoahidi kuiwekeza kama hisa??
Braza agiza pepsi nakuja kulipaUnajua watu wengi mnajipotosha mnapoamini kwamba tayari kisheria simba na Mo walishafikia kupeana hizo hisa. Kilichotokea ni kwamba kuna Azimio la Mkutano mkuu wa simba kukubali kumpa Mo hisa lakini hakuna makubaliano ya kisheria yaliyofikiwa,
Ili Mo amiliki hizo hisa 49% ni lazima kuwe na makubaliano ya kisheria ambayo yatasimamiwa na pande mbili yaani Klabu ya simba na mwekezaji Mo. Nani anaweza kutuambia ni lini na wapi Simba na Mo wametiliana saini makubaliano ya kuuziana hizo hisa?
Jee ni nani anaweza kusema hizo hisa 51% za wana Simba zinapatikanaje na ziko wapi? Kwa ivo hapa watu wanajadili kama vile suala la Mo kupewa 49% ya Klabu ya simba tayari limeshatokea lakini hata mchakato wenyewe bado kabisa kuanza.
Mchakato hauwezi kuanza kama thamani halisi ya Klabu haijulikani, na Mo alisema kuwa atawekeza bilioni 20 kwenye klabu lakini hakusema atatoa bilioni 20 kwa Klabu.
Kama Klabu ikithaminishwa na kuonekana ina thamani kubwa zaidi ya shilingi bilioni 44 basi Mo inabidi aongeze fedha anazotaka kuwekeza zifanane na thamani ya hisa za Klabu zilivyo.
Na ijulikane inawezekana baada ya tathimi ikaonekana Simba thamani yake ni shilingi bilioni 10 basi hata hizo bilioni 20 za Mo zitakuwa ni zaidi ya thamani ya Klabu.
Na kuna watu wanazungumzia mashabiki kama ni sehemu ya "mtaji" wa Klabu. Hivi shabiki ana ulazima gani wa kununua Jezi za Klabu? Nani anaweza kutuambia kwa hakika kwamba Mwaka jana Simba iliuza Jezi za shilingi ngapi kwa mashabiki wake?
Wewe lazima utakuwa ni mtoto/ mjukuu wa mzee kilomoniHuyu Mr MO amekabidhiwa simba bila hata kutoa fedha ambazo zinampa share anazo miliki.
Sinahakika kama huyu bwana anahitaji simba zaidi ya kutaka raslimali za simba kwa ajili ya biashara zake na matangazoya biashara zake kwa kupitia simba.
Tunaomba vyombo vya usalama wekeni macho yenu karibu. Hatutaki mambo ya UDA yatupate club kwongwe na yenye heshima kama simba.
Yangu macho.
Billion 20 brother,naweza kununua timu ulaya
Anataka akachukulie mkopo
Kipi kinamzuia kufanya huo uwekezaji wa bil 20 hadi wanalilia hati? alikuwa na haraka ya nini wakati hakuwa anajua thamani halisi ya klabu na sasa anapitia madeni na mali za klabu ili kujua thamani ya klabu?
Kwani hela Za usajili analipa nani?
Hela za mishahara analipa nani?
Hela za Usafiri analipa nani?
Hela za kukaa kambini timu na viongozi analipa nani?
Uwanja wa boko analipa nani kujenga?
WEWE unadhani mtu ataleta TU bil 20. Akawapa simba?
anaangalia wapi awekeze kwenye club sio kutoa TU hela. Kisa kasema atawekeza bil 20.tulieni moo afanye Kazi
Kwani hela Za usajili analipa nani?
Hela za mishahara analipa nani?
Hela za Usafiri analipa nani?
Hela za kukaa kambini timu na viongozi analipa nani?
Uwanja wa boko analipa nani kujenga?
WEWE unadhani mtu ataleta TU bil 20. Akawapa simba?
anaangalia wapi awekeze kwenye club sio kutoa TU hela. Kisa kasema atawekeza bil 20.tulieni moo afanye Kazi
Wao wako Bize wanataka atoe hela, lakini swali rahisi la thamani ya Klabu ya Simba ni shilingi ngapi wanashindwa kulijibu. Wanaishia kusema wana hati ya Klabu inayoitwa Sunderland!!
Pesa za usajili ni za mapato ya simba. Kumbuka simba imevuna kama bil 2 msimu ukionisha kutok CAF champion league na TPL.
Tatizo hujui biashara ya mpira inaendeshwa vipi
Ingekuwa rahisi Kuongoza mpira.
Yanga wasingekuwa wanatembeza BAKULI.
MOO kajitahidi sana tena sanaa.
CLUB ya Simba haina hela ya kuendesha timu yenyewe. Leo unaona timu imetulia kuna hela za moo. Zinafanya Kazi.
Real madrid yenyewe haina mwekezaji .. ni Club ya wanachama .
Simba mnaibiwa kwa sababu ya njaa zenu.. Yanga wenzetu wanajitabua.
Simba mnapenda sana vitu za bwerere wakati yanga wenzetu ipo na nguvu ya kusimamia timu yao.
Kwa kufika roho kapewa dolla 650,000Ingekuwa rahisi Kuongoza mpira.
Yanga wasingekuwa wanatembeza BAKULI.
MOO kajitahidi sana tena sanaa.
CLUB ya Simba haina hela ya kuendesha timu yenyewe. Leo unaona timu imetulia kuna hela za moo. Zinafanya Kazi.
Makubaliano sio hayo.. anatakiwa kutia bil 20 na bodi ya simba isaini makabidhiano.
ni wapi na lini alisema anatia cash bil 20 kwenye club ya simba? hao bodi ya wathamn watia sain kama akina nani??Aweke kwenye club hizo bil 20 .. simba ni kampuni kama nyingine.
Realmadrid na barcelona wanatembeza bakuli kama kawaida sema namna bakuli linavyo tembezwa ni tofauti kidogo na sisi.Utaifanananisha Madrid na yanga na simba?
wadhamini wa Madrid una wajua?
ebu kuwa serious kidogo.
yanga hawajitambui ndo maana kila siku wanapitisha michango.
ULISHAWAHI KUSIKIA MADRID WANATEMBEZA BAKULI?
yaani mpaka sasa timu kubwa kama YANGA bado wanategemea hela za kuchangishana ndo waendeshe timu?
hao hawana safari ndefu.
Kwa kufika roho kapewa dolla 650,000
Jumlisha rights za TV
Jumlisha Viliingilio uwanjani
JUMLISHA MATANGAZO ETC
Ile ni mali yake amenunua, hajapewa, kanunuaMo anataka hati za Nini? Kwenda kukopea bank? Alijiingiza kwenye mkonge na mashamba mengine ,wadau wanasema anakopea fedha. Serikali ikasema ayaendeleze la sivyo watayachukua.
Akasema anamuachia Mungu.
Inatakiwa kuwe na utaratibu wa Kila kitu kitakachofanyika ndani ya miaka ambayo atapewa awekeze.
Inawezekana mpango upo kichwani mwake. Wanasimba wengi hata hawajui Amepewa Simba kwa muda gani.
Njaa zisifanye jamaa anyenyekewe.