mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Tatizo lako haujui wadhamini wa Madrid wanatoa kiasi gani.
Na wadhamini wa hapa kwetu Tanzania wanatoa kiasi gani.
wadhamini wangekuwa wanatoa pesa za maana Leo yanga asingekuwa omba omba.
Hao wadhamini wanashindwa kutoa zawadi ya mshindi wa ligi.
Kuna mdhamini yeyote aliyewahi kutoa bilion moja kwa simba Au yanga?

Realmadrid na barcelona wanatembeza bakuli kama kawaida sema namna bakuli linavyo tembezwa ni tofauti kidogo na sisi.
Wadhamini ni jambo la kawaida kama yanga inavyo dhaminiwa na Quality Group au simba na Pombe ya Kilimanjaro.
Realmadrid hadi leo timu ya wanachama hakuna bwenyenye kama huyo wenu.