GE2025 Yaliyotushinda Gen-X hawa Gen-Z watatutoa Kimasomaso?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Kwani nyie Gen X mmefichama wali mkimsubiri nani awatoe kinasomaso? Kama ndivyo si kubalini wawaowe kabisa ijulikane nyie siyo wa suruba?!
 

Mkuu,

Za siku nyingi?

Juzi nimemsikia Khalifa (The Chanzo) anataja articles zako kuwa zimemu inspire kuwa muandishi, nikafurahi, nikasema tunazeeka.

Kabla sijaenda kwenye mada kwa kina. About labels, culture, authenticity.

Hivi hayo ma label ya Gen X na Gen Z yana apply Bongo kweli?

Haya si ya Kimarekani yenye maana specific zinatotokana na historia na utamaduni wa Wamarekani?

Na sisi hatuna zetu?

Au ndiyo hatuna fedha za kigeni mpaka za kutumia maneno ambayo hayahitaji fedha za kigeni?

Au ndiyo katika utamaduni wa dunia tunapelekwa kwa kuangalia dira ya Mmarekani, bila kujali kuwa sisi tulikuwa watu wakaidi na wenye kiburi kizuri sana miaka si mingi iliyopita tukiukataa ukoloni, ukoloni mamboleo na ukoloni wa kiutamaduni?
 
Unawaongelea hawa wapendao kusimulia matukio ambao wameandaa smartphones zao kwa ajili ya ku record matukio ili waka upload kwenye TikTok na Instagram accounts zao?

Serikali ingefungia hiyo mitandao au ingezima data hapo ndiyo ingekusea bug time. Lakini katika hali hii ambayo mitandao ipo wazi, unternet ipo hakuna wa kuandamana
 
Kwani hii imekua michongo Hadi tuisikilizie!?

Potelea mbali masikini Hana Cha kupoteza, MO29 Tukutane site
 
Adoption... hata hii democracy mbona tume adopt na haulalamik?
 
Hakutakua na nywi wala nywinywi..... watanzania waoga sana.
Sio watanzania, hiyo hali ipo nchi nyingi sana. Kuanza kuandamana kudai haki hadi kuangusha serikali si rahisi.
Ukienda Uganda Wana museven mwaka wa 40 huu, Uganda ni waoga?
Rwanda aana kagame mwaka wa 30 huu, Rwanda waoga?
Ukienda huko west africa kama Cameroon Wana Paul biya mwaka wa 40 huu, Cameroon waoga.
 
Habari yako mkuu! Mdharau mwiba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…