Yamebaki masaa 24 Mashabiki wa Simba tuwe na furaha

Mungu ni mkubwa najua anaenda kujibu maombi yetu mashabiki wa SIMBA pale tutakapo shuhudia marefa makini wakichezesha mechi ya UTOPOLO na Club Africans,tunajua haki itandeka kwenye hiyo mechi ni suala la muda tu..
Bado mtaendelea ku huzunika Kwa mda mrefu sana. Tume waandalia machungu kuliko uchungu wa Sifongo.
 
Ahmed Ally amedilishia gia angani, amesema sio Utopolo tena, ni Utopox
 
Mungu ni mkubwa najua anaenda kujibu maombi yetu mashabiki wa SIMBA pale tutakapo shuhudia marefa makini wakichezesha mechi ya UTOPOLO na Club Africans,tunajua haki itandeka kwenye hiyo mechi ni suala la muda tu..
ndoto za ali nacha
 
Malengo ya yanga na azam ni kuifunga simba.

Ktk hilo wameshafanikiwa ila huko kimataifa hawana tofauti na mwenge unaoangaza vijijini tu na kamwe hata burundi mipakani hauwezi fika
 
Mechi ya yanga ila shabiki wa simba ndio mnaisubiria kwa hamu na shauku kubwa.........

Oooh yanga tupo kileleni mtuache kidogo 😁😁
 
Uzuri wa mashabiki wa simba utani wao unaishia mitandaoni tu sio wale wengine wanaenda mpaka airport kupokea wageni wale mapopoma
 
  • Thanks
Reactions: K11
Bado mtaendelea ku huzunika Kwa mda mrefu sana. Tume waandalia machungu kuliko uchungu wa Sifongo.
Sifongo = Sponji/ Kama godoro hivi
Siki = Chachu mfano mixa la supu ya ndimu na pilipili
Sentensi
Tunachovya sifongo kwenye chupa ya siki
 
Mpira una matokeo matatu.
Ila kesho Yanga ana matokeo ya aina moja tu kushinda na si vinginevyo.
 
Back
Top Bottom