mpiga vichwa
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 2,376
- 3,811
Achana na kuwa kileleni ktk msimamo wa ligi ya NBC , kesho ndo mtafikishwa kileleni rasmi na mwarabu.Mechi ya yanga ila shabiki wa simba ndio mnaisubiria kwa hamu na shauku kubwa.........
Oooh yanga tupo kileleni mtuache kidogo [emoji16][emoji16]
Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app