Said Stuard Shily
JF-Expert Member
- Jul 18, 2017
- 2,396
- 2,108
Bado mtaendelea ku huzunika Kwa mda mrefu sana. Tume waandalia machungu kuliko uchungu wa Sifongo.Mungu ni mkubwa najua anaenda kujibu maombi yetu mashabiki wa SIMBA pale tutakapo shuhudia marefa makini wakichezesha mechi ya UTOPOLO na Club Africans,tunajua haki itandeka kwenye hiyo mechi ni suala la muda tu..
Ahmed Ally amedilishia gia angani, amesema sio Utopolo tena, ni UtopoxMungu ni mkubwa najua anaenda kujibu maombi yetu mashabiki wa SIMBA pale tutakapo shuhudia marefa makini wakichezesha mechi ya UTOPOLO na Club Africans,tunajua haki itandeka kwenye hiyo mechi ni suala la muda tu..
ndoto za ali nachaMungu ni mkubwa najua anaenda kujibu maombi yetu mashabiki wa SIMBA pale tutakapo shuhudia marefa makini wakichezesha mechi ya UTOPOLO na Club Africans,tunajua haki itandeka kwenye hiyo mechi ni suala la muda tu..
Sifongo = Sponji/ Kama godoro hiviBado mtaendelea ku huzunika Kwa mda mrefu sana. Tume waandalia machungu kuliko uchungu wa Sifongo.
Nyuma mwikoMechi ya yanga ila shabiki wa simba ndio mnaisubiria kw hamu na shauku kubwa.........
Oooh yanga tupo kileleni mtuache kidogo ππ
Atashinda 1 bila kule ughaibuni atakula 7Mpira una matokeo matatu.
Ila kesho Yanga ana matokeo ya aina moja tu kushinda na si vinginevyo.