venine
JF-Expert Member
- Nov 11, 2010
- 1,458
- 1,569
ana matusi kama nape hapo ngoma droo
Duh! nimeshtukaje mie jamani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ana matusi kama nape hapo ngoma droo
MKUU NITUMIE NA MIMIni inbox namba yako nikutumie
WANGEWEKA TU MKUUiwekeni hapa siyo kila mtu ana whatsapp
hivi nape nae....kwan hilo picha la nape na aunt liliishaje,mbona hatupeani data zilizoshiba
Ana mtoto mkubwa tu!Insta kwa kabikra wa fm kamtoa wapi sijui mtoto wa Aunt mweeeh...watu wapekenyuzi hatari
Umbea umeshaexpire huu. Uwe unaangali tarehe ya kuanzishwa uzi kabla ya kuchangia.MKUU NITUMIE NA MIMI
hahaha mkuu nawe ulishaifutaUmbea umeshaexpire huu. Uwe unaangali tarehe ya kuanzishwa uzi kabla ya kuchangia.
Imekuaje kijana umeenda kwa watu wasiojielewa?CCM hata hamjielewi