Uza kiwanja fanya biashara nunua kingineNdio, sikujua hilo mapema. Lakn maadam kiwanja kipo kibaha, pia ilikuwa malengo yangu pia
Ulikopa sh. Ngapi?Mimi nafanya kazi Serikalini. Nimekwama kifedha. Nahtaj mkopo LAKI 5.mwezi huu KODI. Mtoto anaumwa. Kaka anafunga harusi. Sihachanga. Nilikopa bank nikanunua kiwanja bado makato makubwa. Wanaume tumeumbwa mateso.
Pole sana mkuu, utayashinda majaribu.Mil. 5
Acha uoga, kwani hicho ulizaliwa nacho? Vizur vipo, au kama vip kakope tena dhamana Kiwanja.Kwa hilo la kuuza kiwanja kwa kweli hapana. Kwa sababu ni sehem nzuri sana na nahisi huko niendako si ntapata kama hicho tena endapo nikikiuza
Lazima uone kila mtu anakuzomea......wacha namba isomeke sawasawa.Na bado kuhamia Dodoma !!
Unalipa kodi halafu unapigwa barua ya kwenda Dom.
Kiwanja madalali wanakirandia !!
Harusini kuna kiwango kwa kila ndugu wa karibu !!
Patamu hapo !!
Uza kiwanja uchangie harusi ya brotherNipo dar es salaam, kimara
Mkuu huko kwenu Bayport haijafika? Hilo ndo kimbilio lenu walimu, nenda ukope huko kiongozi!Na katoto kameungua moto. Ni shida