Yamenifika shingoni, nahitaji mkopo wa laki tano

Yamenifika shingoni, nahitaji mkopo wa laki tano

ESPIRIT

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2014
Posts
665
Reaction score
524
Mimi nafanya kazi serikalini. Nimekwama kifedha. Nahitaji mkopo laki 5. Mwezi huu kodi. Mtoto anaumwa. kaka anafunga harusi. Sijachanga. Nilikopa bank nikanunua kiwanja bado makato makubwa. Wanaume tumeumbwa mateso.
 
Ndio, sikujua hilo mapema. Lakn maadam kiwanja kipo kibaha, pia ilikuwa malengo yangu pia
 
Uza kiwanja fanya biashara nunua kingine
Kwa hilo la kuuza kiwanja kwa kweli hapana. Kwa sababu ni sehem nzuri sana na nahisi huko niendako si ntapata kama hicho tena endapo nikikiuza
 
Na bado kuhamia Dodoma !!
Unalipa kodi halafu unapigwa barua ya kwenda Dom.
Kiwanja madalali wanakirandia !!
Harusini kuna kiwango kwa kila ndugu wa karibu !!
Patamu hapo !!
 
Mimi nafanya kazi Serikalini. Nimekwama kifedha. Nahtaj mkopo LAKI 5.mwezi huu KODI. Mtoto anaumwa. Kaka anafunga harusi. Sihachanga. Nilikopa bank nikanunua kiwanja bado makato makubwa. Wanaume tumeumbwa mateso.
Ulikopa sh. Ngapi?
 
Sasa mkuu iwapo unapata mtu wa kukukopesha hiyo laki 5 ingekuwa vizuri ukaeleza na namna utakavyorejesha mkopo wako na itakuwa kwa muda gani, nini itakuwa dhamana ya mkopo wako na vitu kama hivyo!
 
Kwa hilo la kuuza kiwanja kwa kweli hapana. Kwa sababu ni sehem nzuri sana na nahisi huko niendako si ntapata kama hicho tena endapo nikikiuza
Acha uoga, kwani hicho ulizaliwa nacho? Vizur vipo, au kama vip kakope tena dhamana Kiwanja.
 
Na bado kuhamia Dodoma !!
Unalipa kodi halafu unapigwa barua ya kwenda Dom.
Kiwanja madalali wanakirandia !!
Harusini kuna kiwango kwa kila ndugu wa karibu !!
Patamu hapo !!
Lazima uone kila mtu anakuzomea......wacha namba isomeke sawasawa.
 
Back
Top Bottom