Hakuna swala la muongozo wewe kataa tu sio yako labda kakutegesheaNipe muongozo! Itasaidiaje kama ikawa kweli mimba ni yangu?
Ihudumie, utamu upewe mimba ukimbie. Hiyo mimba ni yako.Mimi sio KE. Mimi silei mimba! Jukumu hilo ni la jinsia ya KE
Sasa umemgonga leo anasemaje ana ujauzito wa miezi mitano😄Wakulungwa salama?
Nimekuwa kwenye mahusiano yasio rasmi na binti mmoja hivi. Yeye anadai ana boyfriend wake. Na mimi nimeoa, nina familia
Sasa basi, tumekuwa na mahusiano na huyu mdasa kwa muda kama miaka miwili sasa. Lakini hapa mwishoni tukaongea na kukubaliana kuacha/kusitisha mahusiano kwa sababu kadhaa mojawapo ni kwa sababu kila mtu ako na commitment sehemu.
Sasa basi, leo nimekutana na huyo binti, na nyege hazina adabu tukakumbushia tulipoishia. Tukatombana tena. Ile nimemaliza tu demu anaaga kwenda, akaniambia ana ujauzito wa miezi mitano! Duuuuh niliishiwa nguvu. Nilichoka. Nikamuomba sana kwamba sipo tayari kuwa na watoto nje ya ndoa, ila aligoma kabisa. Na kwamba yeye hawezi kutoa mimba
Namuuliza kwanini hajasema muda wote ana mimba, kajibu kwa sababu mawazo ya kutoa mimba hana! Lazima azae
Naomba ushauri, NIFANYEJE? Nimeshalikoroga tayari. Nina hofu kuharibu amani ya familia yangu
Naombeni USHAURI (kejeli na matusi acheni kwanza)
Jitie kitanzi ili kuficha hiyo aibu yako ya kuzaa nje ya ndoa.Wakulungwa salama?

Wakulungwa salama?

Nipe muongozo! Itasaidiaje kama ikawa kweli mimba ni yangu?