YAMENIKUTA: Amenitegeshea Ujauzito, Nifanyeje......????

YAMENIKUTA: Amenitegeshea Ujauzito, Nifanyeje......????

Mambo madogo sana hayo kwa mwanaume.Timiza wajibu wako ..wacha kupanic.
 
Congratulation ba kija
Uzuri ni kwamba unaipenda familia yako safi sana

Hiyo mimba wewe utalea na mwenzako ata lea, safi sana
 
Mwanamke hawezi kua na mimba yako miezi yote hiyo asikwambie lazima mwenye nayo kaikataa na kwakua kaona yupo jamaa dhaifu kwenye nyege akaona akusukumizie .

#Lea mimba hiyo ni yako
 
Tulia kimya subiri mtoto azaliwe.,huku ukijiandaa na songombingo la nyumbani kwako.
Nakukumbusha wanawake tunasamehe ila hatusahau, ni kuvizia tu perfect opportunity ya kulipiza kisasi 🤣
Baba yangu alikuwa na mtoto Nje ya ndoa aliyezaliwa mwaka 1987 Hadi Leo tumemjua watoto3 na wakiume wote japo yeye ni wakike na ni mwalimu!

Wa kwanza kutambulishwa ni Mimi alikuwa anajifungua mzee akaniambia twende huku nimpeleke hapo hajaniambia na tulipofikia pale akaniambia tu ni dada Yako!

Tukarudi baada ya mwezi tukaenda Hadi kwake imagine ana watoto2 wakubwa na kile kichanga cha3 ndo akanitambulisha rasmi Sasa A-Z.

Nilishangaa sana imagine Hadi Hela za mahali mzee alikula na kwenye harusi alienda na wadogo zake na dada zake (shangazi)

Hadi Leo hii mama hajui na hataki ajue!

Mimi Nina mtoto Nje nasomesha anayejua ni ndg yng mmoja tu .....

Kwako mleta uzi uspanic Kwa mwanaume ni kawaida kabisa hivyo usitoe Siri hii ukajiroga kumwambia mkeo au dada zako mwambie mzee wako au kaka Yako hata dogo uangalie yule mwenye friji haligandishi.

Ni kawaida kabisa Kwa mwanaume mzinzi Tena wewe una Bahati mwanamke akitaka azae naww Huwa hajisumbui kukwambia Wala nn hata kulea anaweza kulea yeye ...
 
kwenda, akaniambia ana ujauzito wa miezi mitano! Duuuuh niliishiwa nguvu. Nilichoka. Nikamuomba sana kwamba sipo tayari kuwa na watoto nje ya ndoa, ila aligoma kabisa.
Watoto wa nje ya ndoa ndio Watoto gani hao? That's colonial mentality, mtoto ni Mtoto Tu. Watoto ni baraka, napenda Sana watoto Aiseee. Nipe nimlelee Mimi.
 
Wakulungwa salama?

Nimekuwa kwenye mahusiano yasio rasmi na binti mmoja hivi. Yeye anadai ana boyfriend wake. Na mimi nimeoa, nina familia

Sasa basi, tumekuwa na mahusiano na huyu mdasa kwa muda kama miaka miwili sasa. Lakini hapa mwishoni tukaongea na kukubaliana kuacha/kusitisha mahusiano kwa sababu kadhaa mojawapo ni kwa sababu kila mtu ako na commitment sehemu.

Sasa basi, leo nimekutana na huyo binti, na nyege hazina adabu tukakumbushia tulipoishia. Tukatombana tena. Ile nimemaliza tu demu anaaga kwenda, akaniambia ana ujauzito wa miezi mitano! Duuuuh niliishiwa nguvu. Nilichoka. Nikamuomba sana kwamba sipo tayari kuwa na watoto nje ya ndoa, ila aligoma kabisa. Na kwamba yeye hawezi kutoa mimba

Namuuliza kwanini hajasema muda wote ana mimba, kajibu kwa sababu mawazo ya kutoa mimba hana! Lazima azae

Naomba ushauri, NIFANYEJE? Nimeshalikoroga tayari. Nina hofu kuharibu amani ya familia yangu

Naombeni USHAURI (kejeli na matusi acheni kwanza)
Wewe ni Idiot sana mkulungwa, muache azae, mtoto siyo dhambi, jipange kuijulisha familia yako. Ingekuwa hivyo taifa la Marekani mpaka leo lisingekuwa na rais mwenye asili ya baba wa kafrica, thanks to Obama Sr kuwa na mtoto nje ya ndoa
 
Eti una familia? , familia eeh,, kwa nini ustulize mihemko na hio familia yako. huna lolote la kuhuzunisha zaidi ya kuwa unachekesha
 
Baba yangu alikuwa na mtoto Nje ya ndoa aliyezaliwa mwaka 1987 Hadi Leo tumemjua watoto3 na wakiume wote japo yeye ni wakike na ni mwalimu!

Wa kwanza kutambulishwa ni Mimi alikuwa anajifungua mzee akaniambia twende huku nimpeleke hapo hajaniambia na tulipofikia pale akaniambia tu ni dada Yako!

Tukarudi baada ya mwezi tukaenda Hadi kwake imagine ana watoto2 wakubwa na kile kichanga cha3 ndo akanitambulisha rasmi Sasa A-Z.

Nilishangaa sana imagine Hadi Hela za mahali mzee alikula na kwenye harusi alienda na wadogo zake na dada zake (shangazi)

Hadi Leo hii mama hajui na hataki ajue!

Mimi Nina mtoto Nje nasomesha anayejua ni ndg yng mmoja tu .....

Kwako mleta uzi uspanic Kwa mwanaume ni kawaida kabisa hivyo usitoe Siri hii ukajiroga kumwambia mkeo au dada zako mwambie mzee wako au kaka Yako hata dogo uangalie yule mwenye friji haligandishi.

Ni kawaida kabisa Kwa mwanaume mzinzi Tena wewe una Bahati mwanamke akitaka azae naww Huwa hajisumbui kukwambia Wala nn hata kulea anaweza kulea yeye ...
Ndo apate sasa watoto na ndugu ambao mafriji yanagandisha! Na ikiwa hivo fresh tu maana huyu anaonesha shababi kweli kweli ameweza kumudu familia ya pili bila kuidisturb yakwaza
Tatizo ni pale mshahara wako laki 3 af unazaa nnje lazima ugundulike alfajiri jogoo akiwika 😂
 
Hapana issue sio mshahara maana mzee alikuwa ni mwalimu. Nilimuuliza kwanini hutaki familia ijue akasema hata wewe unatosha
 
Back
Top Bottom