Yamenikuta hotelini, nilijua ni bonge la msosi kumbe..!

Kuna jamaa wenzake waliagiza kuku yeye kaagiza KINGFISH,mawazo take alijua kwamba in samaki kubwa sana SNA,kumbe kaletewa NGURU kwenye kibakuli na ugali wake,wenzake wanapiga monofu ya kuku na misamaki ya maana.Jamaa alichukia sana
 
Halafu kiduchuu!
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] kwenye hizo hotel mimi huwa naangalia mahali pameandikwa beef, chicken, pork fish bas mengine watajazia
Kweli we kajojo, unafaa kwa kutafunwa
 
umesahau "hot dog beef"
 
Hahaaaaa! Hilo nalo neno!
 


πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Nakula vyakula vinavyotoka ardhini tu.

Sihitaji kuuwa mnyama nile.

Halafu nani kakwambia mambo yawazungu haya?

Ital muhimu kwa afya wewe mla kisusio
wenzako wachina mweee, wanakula hadi nyoka! hata me naonaga nyoka watoka kwa ardhi[emoji1] [emoji1]
 
Mmh! Noma.
 

Hayo yanatokea sana.Lugha inayoutumika ni tatizo, Ila mara nyingi utokea kwa watu wajuaji.
Kama hujuhi, ni vizuri kuuliza wahudumu ili wakueleze vizuri ni kitu gani na ulinganishe na ulichokuwa unahitaji.
Ukiwa mbishi, hayondiyo matokeo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…