Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah nilijua ni bonge la msosi kumbeee...
HOTEL ZA KITALII BWANA!!!!
Unaenda Kempiski unaona menu imeandikwa:
Sauteed white corn, rare lucy beans, garnished with rift potatoes & topped with organic unprocessed guacamole.
Price: TSH 22,000
Unaagiza! Ukiletewa ndio unagundua kwamba:
Ni makande na parachichi..
Kweli we kajojo, unafaa kwa kutafunwa[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] kwenye hizo hotel mimi huwa naangalia mahali pameandikwa beef, chicken, pork fish bas mengine watajazia
umesahau "hot dog beef"Aisee tumetofautiana.
Binafsi napenda kujaribu vyakula tofauti.
Hapa Chuga kila weekend kazi yangu kutembela fancy restaurants na kuenjoy food.
Mimi ni vegan kwahiyo nyama au diary product yoyote situmii.
Chinese dishes ndiyo nambari one kwangu.
Kuanzia Fried rice/Steamed rice with vegetables and Tofu
Pac Choi + steamed rice au Nuddles
Mapau Tofu.
Vegetable nuddles.
Vegetable satay + spring rolls
Dip Sums + Tofu + vegetable nuddles.
Siku nataka ni spend less naangilia option ya Combo. Ni cheap kimtindo.
I love food man
Nimejaribu aina nyingi sana ya vyakula nyingine majina nimesahau.
Hahaaaaa! Hilo nalo neno!Dah nilijua ni bonge la msosi kumbeee...
HOTEL ZA KITALII BWANA!!!!
Unaenda Kempiski unaona menu imeandikwa:
Sauteed white corn, rare lucy beans, garnished with rift potatoes & topped with organic unprocessed guacamole.
Price: TSH 22,000
Unaagiza! Ukiletewa ndio unagundua kwamba:
Ni makande na parachichi..
Pole sana yashanikumba hayo sehemu fulani. Hivi sasa sitaki kabisa kusoma menu. Ninachofanya ni kumuita mhudumu na kumwambia lete wali samaki aliyekaangwa,juice fulani, kama ni ugali n.k. Nishawahi kuletewa chakula robo tatu ni ndizi tupu na mimi hapa ni Msukuma.
Labda wa masaki hii 800 tukwa mantlie huo msosi unapata kwa 1200
wenzako wachina mweee, wanakula hadi nyoka! hata me naonaga nyoka watoka kwa ardhi[emoji1] [emoji1]Nakula vyakula vinavyotoka ardhini tu.
Sihitaji kuuwa mnyama nile.
Halafu nani kakwambia mambo yawazungu haya?
Ital muhimu kwa afya wewe mla kisusio
Mmh! Noma.Dah nilijua ni bonge la msosi kumbeee...