Yamenikuta huku mtu mzima

stevelwa

Member
Joined
Nov 2, 2012
Posts
72
Reaction score
20
Wadau mtu mzima yamenikuta, kuna wifi yenu na shemu wenu nilikuwa na bifu nae kidogo na ye ndio mkosaji, sasa baada ya wiki kuja kum'bamba na kuhold sim yake nmekuta anachat na mshkaji, ila hawajadoo coz jamaa yupo nje ya mji wetu na pia ingawa tuna bifu ila shori huyu hakusafiri day zote nlikuwa namchek ila story ndio ilikuwa kimya, ina maana gani je apewa adhabu ya kupigwa chini, au nami nimtende makubwa ndio nmpige down au nimsamehe tu?
 
Pole sana mwanajamvi hao wadudu ndivyo walivyo, je ni wife au ? ingawa maelezo yanaonesha ni shori tu i mean demu tu, sasa mwite muyake sawa hayo mambo maana kama kweli we unampenda na unaamini anakupenda pliiz kaeni chini myatatue, coz unaweza kwenda sehemu mpya hadi ukajuta, hapo la kwanz ni kuhold tena simu kwa muda uone kama kuna mapya afu tena,uje umbadilishie hiyo namba yake na mambo yake na mashost zake pia not gud one ujue,like dat
 
Ndo ujifunze, ukiuliza wa nini kuna mwenzio anasubiri mkono uanguke auokote!
Ukimpiga chura teke unampunguzia safari yakhe. Safari ya nje ya mji inawadia shaaaaaaah!
 
Yaa sio wife ila woz half wife coz kulikuwa na mipango ya kuanza kufanikisha awe wife kabisa, pia nina assets nae mbili tatu hivi, kiukweli nna hali flan ya kumtenda kisasi coz nilimuamini sana, namimi ndio niliemtoa usichana wake, bifoo tukio hili ni mwema sana alikuwa. kuhusu rafk zake i noted sio wazuri mkuu wavisa kama ulivyosema.
 
Ndo ujifunze, ukiuliza wa nini kuna mwenzio anasubiri mkono uanguke auokote!
Ukimpiga chura teke unampunguzia safari yakhe. Safari ya nje ya mji inawadia shaaaaaaah!
Be open king'ast kuna mambo matatu niliomba mnisaidie kuamua bnafsi nashindwa, usiwe ufeminist basi.
 
nae katega huku huku,ukimtema jamaa anachukua mzigo
 
mkalishe chini huyo shori wako mzungumze kuhusu jambo hilo/ na vilevile kama unaijua historia ya binadam /
jaribu kumsihi kwa polite language'
 
mkuu siku hizi hakuna demu wa peke yako toka warudi Beijing ni noma woga umewaisha yaani msamehe tu
 
wala usipate presha kaka....wewe endelea kumgegeda huku pembeni unagegeda wengine....turn her into a sexmate
Lakin kugegedewa inauma sana usiombe yakukute. thanx hilo nalo neno kdogo linapunguza machungu.
 
mkalishe chini huyo shori wako mzungumze kuhusu jambo hilo/ na vilevile kama unaijua historia ya binadam /
jaribu kumsihi kwa polite language'

Thanx mkuu hii nimeifanyia kazi na kiana amejuitia sana, sasa sjui huko mbeleni.
 
mkuu siku hizi hakuna demu wa peke yako toka warudi Beijing ni noma woga umewaisha yaani msamehe tu
Kwa hali ilivyo hadi leo inasababisha nimsamehe sema sasa shda namimi nimekuwa macho juu kweli sasa kuweka wa mbadala coz nilikuwa ssina hofu nilimuamini sana,
 
Lakin kugegedewa inauma sana usiombe yakukute. thanx hilo nalo neno kdogo linapunguza machungu.

lazima iume bwana...ndio hivyo utafanyaje...ulimwengu wa sasa ni full kugegedana
 

Pole sana ago!hasira na visasi kwa waungwana kaeni chini muweke mambo sawa,wote ni wanawake ambao ni wanadamu si malaika makosa na upungufu vinatuandama sana,na Hanmna guarantee huko utkakoenda(in case ukivunja uhisiano,kitu ambacho sishauri) hutatendwa.......sijui uhusiano wenu ulikuwaje Kama ni serious hii nukuu ni njema....BWANA asipoulinda mji walindao wakesha bure.
 
kaka nikuambie kitu?...kama kweli unampenda huyo dada, usifikirie kabisa suala la kulipa kisasi maana unaweza kufanya hivyo ndio ukampoteza jumla..mapenzi kaka hayaendi na visasi, kumbuka na wewe ni binadamu, iko siku unaweza kumtibua mwenzako vilevile, hata km sio huyo, labda hata mkeo Inshaallah, sasa ungependa akufanyie kisasi? mheshimu huyo dad akama kweli unampenda, kaa naye chini muweke wazi kosa lake ili akiri na kuomba msamaha na kama ataahidi kutorudia, muyamalize ili muendelee na mapenzi yenu na Inshaallah tuje kula ubwabwa wa harusi siye.....(ushauri huu utakuwa na maana iwapo tu una MAPENZI YA DHATI na huyo dada). kila la kheri Inshaallah!
 
Thanx mkuu nashukuru sana, na kuna vitu hapa umenigusia nmevisoma hata kwenye kitabu cha steve mackay cha sweet love in a new college. ntaufanyia kaz ushauri ingawa nilianza tayari ila nmekusoma mkuu.
 

Jamiif ni bingwa wa kupenda na nikipenda huwa napenda kweli, thus why alivyonitenda hayo hasira imekuwa kubwa, kiukweli it woz mou zan serious relation, a hayo nlipanga april nikichukua leave nitie timu kwao, lakin nimekuelewa sana mpendwa na hakika nitayafanyia kazi ingawa kwa namna fulani nina karoho ka kisasi hivi, ila namuomba mungu anisaiie juu ya hili, ingawa wanajamvi mawazo na michango yenu imenipa fa sana. thanx ntayatendea kazi na nmekuelewa my dada.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…