stevelwa
Member
- Nov 2, 2012
- 72
- 20
Wadau mtu mzima yamenikuta, kuna wifi yenu na shemu wenu nilikuwa na bifu nae kidogo na ye ndio mkosaji, sasa baada ya wiki kuja kum'bamba na kuhold sim yake nmekuta anachat na mshkaji, ila hawajadoo coz jamaa yupo nje ya mji wetu na pia ingawa tuna bifu ila shori huyu hakusafiri day zote nlikuwa namchek ila story ndio ilikuwa kimya, ina maana gani je apewa adhabu ya kupigwa chini, au nami nimtende makubwa ndio nmpige down au nimsamehe tu?