Kuna mdada ambaye nimetokea kumpenda sana, at first hakuonekana kuniaccept akanishauri kusaka girl friend.
Niliufuata ushauri wake na kweli nakabahatika kumnasa mdada mwingine. Cha ajabu huyu mdada sikumpenda ila nilimtamani tu.
Nilimfahamisha yote hayo huyu mdada ambaye nilimpenda sana. Baada ya kumfahamisha hayo ndipo akanijibu 'I LOVE YOU TOO'
ni kweli alionekana kunipenda sana na nikachukua uamuzi wa kumtosa yule mdada niliye mtamani.
Ni miezi minne sasa imepita!
Siku moja nilichukuwa simu yake nikakuta jina ka save 'MY WANGU'. Niliexpect pengine ingekuwa namba yangu lakini haikuwa hivyo. Sikumuambia kitu chochote kuhusiana na hiyo namba.
Siku hizi kila ninapompigia simu anadai yuko bize au sometime anazima simu kabisa. Ninapomtext hata harespond, NO Missed call no SMS!
Naombeni ushauri ndugu zangu...