Yamenikuta Kama ya kwenye movie

Yamenikuta Kama ya kwenye movie

Dcxkobe

Member
Joined
Mar 5, 2023
Posts
57
Reaction score
136
Mwaka 2019 nilikua na msichana mpenzi wangu mwaka huo huo nkaondoka kwenda kuitafuta maisha nkamwambia acha nikasake noti nikizipata nitakuja nikuoe mwaka huu mwezi uliopita ndio nimerudi nimemkuta ameshaolewa na ana watoto wa 2 dah yamenikuta ya kwenye dhadkan ya sunnly shety
 
Mwaka 2019 nilikua na msichana mpenzi wangu mwaka huo huo nkaondoka kwenda kuitafuta maisha nkamwambia acha nikasake noti nikizipata nitakuja nikuoe mwaka huu mwez iliyopita nimemkuta ameshaolewa na ana watoto wa 2 dah yamenikuta ya kwenye dhadkan ya sunnly shety
[emoji23][emoji23][emoji2]
Bongo movie
 
Alafu we ndo main character season 1 imeisha tunasubr mrejesho wa seasn 2 baada ya kukuta ashazaa
 
Mwaka 2019 nilikua na msichana mpenzi wangu mwaka huo huo nkaondoka kwenda kuitafuta maisha nkamwambia acha nikasake noti nikizipata nitakuja nikuoe mwaka huu mwezi uliopita ndio nimerudi nimemkuta ameshaolewa na ana watoto wa 2 dah yamenikuta ya kwenye dhadkan ya sunnly shety
Muda wote huo kumuacha mtoto wa kike bila mawasiliano aina yoyote wala bila msaada wowote ni kipindi kirefu.Kwa vile kosa ulilifanya wewe mwenyewe jisahaulishe tafuta mke wa kuoa ili maisha mengine yaendelee.
 
Mwaka 2019 nilikua na msichana mpenzi wangu mwaka huo huo nkaondoka kwenda kuitafuta maisha nkamwambia acha nikasake noti nikizipata nitakuja nikuoe mwaka huu mwezi uliopita ndio nimerudi nimemkuta ameshaolewa na ana watoto wa 2 dah yamenikuta ya kwenye dhadkan ya sunnly shety
 
Mwaka 2019 nilikua na msichana mpenzi wangu mwaka huo huo nkaondoka kwenda kuitafuta maisha nkamwambia acha nikasake noti nikizipata nitakuja nikuoe mwaka huu mwezi uliopita ndio nimerudi nimemkuta ameshaolewa na ana watoto wa 2 dah yamenikuta ya kwenye dhadkan ya sunnly shety
[emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom