Yamenikuta Kama ya kwenye movie

Yamenikuta Kama ya kwenye movie

Mwaka 2019 nilikua na msichana mpenzi wangu mwaka huo huo nkaondoka kwenda kuitafuta maisha nkamwambia acha nikasake noti nikizipata nitakuja nikuoe mwaka huu mwezi uliopita ndio nimerudi nimemkuta ameshaolewa na ana watoto wa 2 dah yamenikuta ya kwenye dhadkan ya sunnly shety
Achana na hicho kipengele cha usaliti.

Swali moja la nyongeza kwako, ulivyorudi hayo maisha ulikuwa umeyapata au umepatikana? [emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom