Unafikiri jamaa anagekuwa na mawe kuna kikwazo apo??? Ata angekuwa mfuasi FreemasonsPambana umbandue kwanza misimamo yake italegezwa hana jipya hiyo Alafu jitahdi kupambana uwe na ela uone kama atachomoka
Sent using Jamii Forums mobile app
Pesa kwake sio kitu mwanangu, ani mnaweza toka mpaka ATM, unachomoa wekundu 2 unampa anagoma, na sasa hivi kama miezi 6 hivi namfukuzia.Pambana umbandue kwanza misimamo yake italegezwa hana jipya hiyo alafu jitahdi kupambana uwe na ela uone kama atachomoka
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hamna ufala hapa ,napambana kila namna ila inakua ngumu ,na wala sio hanipendi kabisa sivyo ,mfano nikimkuta akiwa na wenzake anakosa amani kabisa na ameniambia mara nyingi kwamba anakosa amani akiniona na anapoteza mwelekeo wa kile anachokifanya, sasa je mtu asiyekupenda anaweza kufikia kwenye hali hii?Wee Jamaaa unakaa na mwanamke kujadili kumuoaa???? Mle kimasihara kwanzaa ufalaa uo... Alafu wote wakristo anaanza kukuletea siasaa... Akupendi aiseee unapoteza muda apoo
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa sasa ameshavuka 31 ,ila bado ameshikilia msimamo wake ,kinachonifurahisha ni kwamba kila siku nikimtafuta kuna maendeleo kidogo ,yani ukali unapungua.Kwanza mlokole aliye mlokole kabisa hawezi kukubali kuolewa na mRC kwao ni dhambi maana wanasema rc hawaamini hawajaokoka,, ni moja ya mafundisho tao
Ila pia akifika miak 30+ bila Mume atataka yoyote, kiapo kitaisha
Inshort usilazimishe,, kama hataki muache, Mana yawezekana akakubali Ila kanisa lake au wazazi wake wakakataa
Kwa sasa ameshavuka 31 ,ila bado ameshikilia msimamo wake ,kinachonifurahisha ni kwamba kila siku nikimtafuta kuna maendeleo kidogo ,yani ukali unapungua.
Mkuu hamna ufala hapa ,napambana kila namna ila inakua ngumu, na wala sio hanipendi kabisa sivyo ,mfano nikimkuta akiwa na wenzake anakosa amani kabisa na ameniambia mara nyingi kwamba anakosa amani akiniona na anapoteza mwelekeo wa kile anachokifanya ,sasa je mtu asiyekupenda anaweza kufikia kwenye hali hii?
madhehebu tofauti me hio ni case ingine
Pambana umbandue sasaPesa kwake sio kitu mwanangu ,yani mnaweza toka mpaka ATM ,unachomoa wekundu 2 unampa anagoma ,na sasahivi kama miezi 6 hivi namfukuzia