Mr Devil
JF-Expert Member
- Jul 7, 2019
- 15,410
- 35,923
Tafuta wa dhehebu lako tu
Wee Jamaaa unakaa na mwanamke kujadili kumuoaa???? Mle kimasihara kwanzaa ufalaa uo... Alafu wote wakristo anaanza kukuletea siasaa... Akupendi aiseee unapoteza muda apoo
Sent using Jamii Forums mobile app
Achana nae huyo.
Hapo binti hakupendi, na wewe ndie unalazimisha upendo huo.
Binafsi sidhani kama dhehebu pakee ni kikwazo ili kuingia kwenye ndoa.
Huyo hayupo tayari
Sent using Jamii Forums mobile app
Yeye anataka MTU ambaye tayari yupo kwenye dhehebu lake ,that's why anakomaamwambie na wewe kuaniza leo umeokoka na utajiunga na kanisa lake, ukishamaliza mission yako endelea imani yako.
akiendelea kukaza muage kwa amani.
Nafikiri kuna maelekezo flani huwa wanapewa kutoka kanisani ili kuongeza wateja wao na pia mhusika anaogopa kutengwa na kanisa ,hii Wenda inaweza kuwa sababuHapo hakuna mapenzi ya kweli hapo kimbia tu, Dini sio kigezo cha kusema eti huwezi kuolewa na Fulani kisa ni dheheehhebu Fulani, unajua haya mambo mwanadamu ndo kayaleta na imeleta matabaka kweli kweli!! Mungu tunayemuabudu ni mmoja tu haijalishi ww ni muislam au mkristo au kingine huko.
Imani yako ndo itakufanya uwe karibu na muumba wako lakini hakuna seehhemu kwenye maandiko yeyote yanayokataza watu kuoana kisa ni dheheheehhebu tofauti au Dini tofauti...
Ninachoamini ni kuwa kama watu mmependana basi ni kukaa chini na kufanya maamuzi kuwa ndoa yenu mnataka ikabarikiwe wapi!
pingamizi lazima zitakuwepo lakini kama wawili mkishikilia msimamo wenu basi hakuna kitakachoharibika.....siku zote vitu vizuri havitokei kwa uwepesi changamoto lazima ziwepo so ni jukumu lenu kupambana na hizo changamoto....
MJOMBA KAMA HUYO BINTI ANASHINDWA KUOLEWA NA WW KISA ETI UPO DHEHEBU TOFAUTI, NDUGU YANGU UJUE HUYO SIO MTU SAHIHI KWAKO YAANI ANAKUPENDA LAKINI SIO ULE UPENDO WENYEWE KUTOKA MOYONI!!
Don't waste your time on lecturing me, this is 2020
Mkuu umeanza vizuri ila mwishoni umehalibu ,hakuna tatizo lolote zaidi ya yeye kukomaa na diniAchana nae tafuta mwingine, wanawake wako wengi sana sana bado kidogo tu wao ndiyo watakaokuwa wanatafuta wanaume wa kuwaoa.... Tafuta mwanamke mwingine tena atakayezingatia vigezo vyako ili umuoe au inawezekana tatizo ukawa ni wewe husemi tu ukweli.... [emoji15]
Mkuu mwanamke pia ana heshima yake ,na sio rahisi kama unavyochukuliaKweli naamini kizazi cha KIUME kinateketea. Wewe hujui kutongoza, unatongoza kizembe. Nyie wote ni dini moja; mmoja paka wa bar, mwingine paka shume, masaa 3.30 umeshindwa kumlainisha ukala kimasihara....jipigie PUNYETO tu, mbunye hupati kwa style yako.
Ushauri mzuri mkuuMkuu, endelea kumkazia tu atakubali, kama amekuambia ukweli kuwa yupo single tofauti na alivyokuambia mwanzo maana yake hata dini atabadilisha tu.
Ikishindikana kabisa kumshawishi na unaona unampenda kabisa hauwezi kuoa mwingine mnaweza kukubaliana. Kanisa Katoliki lina utaratibu ambao nyote mnaweza kufunga ndoa (Kanisa Katoliki au huko kwa Walokole) na kila mmoja akabaki na dini yake.
Wewe utaendelea kuwa Mkatoliki na yeye ataendelea kuwa Mlokole. Sema mtakuwa mnawachanganya watoto japo ili mruhusiwe itabidi aingie mkataba na Kanisa Katoliki kiwa watoto mtakaojaliwa watakuwa Wakatoliki.
Ongeeni mkubaliane.
Kama umeweza kumshawishi awe wako, hauwezi kushindwa kumshawishi kuwa Mkatoliki. Endelea kukaza tu. Mwanamke ndio anapaswa akufuate, sio wewe. Kila mtu kubaki na dini yake inapaswa kuwa last option.
sjui ni kwa nini hua naonaga mwanaume akibadili dini kumfata mwanamke namuona huyo mwanaume dhaifu sana
Umesema kweli. Mwanaume kubadiki dini kwa ajili ya mwanamke ni udhaifu. Umchague, umtongoze, umtunze bado nifate dini au dhehebu lake? Over ma.dead bodysjui ni kwa nini hua naonaga mwanaume akibadili dini kumfata mwanamke namuona huyo mwanaume dhaifu sana
Nipo serious mkuu, sitaniiHuyo hatak kuolewa wala ww huna mpango wakumuoa ila unataka kutoamo yako upite hivi
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi ningekua ni wewe, ningeachana na huyo mwanamke. Sababu kuu za kuachana nae ni hizi:
1. Huyo dada anaonekana ana kiburi, jeuri na hana shukrani. Kitendo cha kumpa zawadi kisha anaanza kuhoji, tayari hiyo inaonyesha huyo ni mtu wa aina gani. Hebu fikiria ndio mpo ndani utaishije na mtu kama huyo? Najua wengi hua tunadhani kwamba mtu akiwa mlokole basi anakua "malaika" ila sio kweli, ulokole hauondoi hulka halisi za mtu.
2. Hana mapenzi ya kweli, mapenzi yake ni "conditional". Yaani ili akupende, ni mpaka utimize anachotaka yeye na sio unachotaka wewe. Huyu atakusumbua sana huko mbele amini usiamini.
3. Hana msimamo! Mara aseme ana mtu, mara hana mtu, mara akikuona anachanganyikiwa, mara hakutaki..!! Huyu hajielewi mkuu mi ningekaa nae mbali sana.
4. Ikitokea ukalazimisha mpaka mkaoana, changamoto za kuishi na mwanamke mlokole ni nyingi kuliko unavyofikiri. Maisha yenu yote yataongozwa na mchungaji wake. Atakachosema mchungaji, ndio kitafanyika haijalishi wewe kama mume unataka nini. Ndio maana hata sasa anakusumbua kwani mchungaji wao alishawaambia wasikubali kuolewa na mtu ambae hasali hapo kwao. Hata ungekua mlokole, lakini ukawa unasali kwa mchungaji mwingine, bado kuna uwezekano ungekataliwa!
Mwisho: Wanasema mapenzi ni upofu. Inawezekana wewe umeshampenda/tamani huyo dada kutokana na sababu zako unazoona wewe. Hiyo imekufanya usisikie wala kuona madhaifu yoyote mengine ya huyo dada. Sisi hata tupige kelele kiasi gani, bado uamuzi ni wako.
Nilipomweleza kwamba nampenda akatoa kigezo cha kuwa anamtu wake na tukazungushana sana kama miezi 3 hivi ,ila juzi amenieleza kwamba mzunguko wote ule ni kwa ajili ya imani ,pia kuhusu zawadi nilimnunulia seti ya chupi ndio maana akahoji kwa sababu aliona kama ni zawadi ya kumpenda kingono ndio maana alihoji,lakini pia kuhusu kubwa na mtu nimefatilia sana kwa watu anaofanyanao kazi ,pia aliokaanao mwanzoni wanasema hawajawshi sikia huyu manzi anamwanaume na hawajaona aliwa na mwanaume yeyote ,pia hapo anapokaa wamepanga na mdada ambaye pia ni mfanyakazi na nikiwa naenda pale kwao ananiona na naongea naye vizuri na tunafaamiana ,nilijaribu kumuuliza kulikoni kwa huyu msichana Je anamtu kaniambia hajawahi ona na wameishi zaidi ya miaka 2 sasa ,hajaona mtu anakuja pale wala kuona anamishe za namna hiyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
ExactlySjui ni kwa nini hua naonaga mwanaume akibadili dini kumfata mwanamke namuona huyo mwanaume dhaifu sana