Nipo shoga pole kwa ban Karibu tenaAsee ....wee kiumbe upo?
Acha tuHahahahaha pole dear ....tushukuru hukulala huko huko
C'monSexy....
Appreciate my...santeeNipo shoga pole kwa ban Karibu tena
Nilikumiss pia dear ......Appreciate my...santee
Nilikumisijee
ndio inatakiwa hivyo... alaf kuna ishu ya FAKE WALL.. in case of fire una exit nje fasta tu bila ya kutumia nguvu... mbinu zote hizo watu hawazijui wengi.. ndio maana wana dedi kama panya wa sokoniOkay sawaa...ila nyumba zetu za kibongoo haziko hvyo hapa narecall movie nilizoziona almost zote milango yafunguka kwa nje
Hapana hata wine sijawahiUnakunywaga
Mambo hayo mpk ufahamu na ndo twajifunzandio inatakiwa hivyo... alaf kuna ishu ya FAKE WALL.. in case of fire una exit nje fasta tu bila ya kutumia nguvu... mbinu zote hizo watu hawazijui wengi.. ndio maana wana dedi kama panya wa sokoni
yah.. kama umejenga au una mpango wa kujenga... unaweza kutega sehemu fulani katika nyumba yako unaweka hiyo FAKE WALL.. muhimu sana.. wenye pesa huwa wanaweka FAKE ROOM,FAKE DOOR.. kama jambaz haijui ramani ya nyumba... anazunguka kote ila hauonekani.. au anakuta ushasepa njeMambo hayo mpk ufahamu na ndo twajifunza
Umenipa akili ngoja nimpe ,contractor Wangu hii kitu,ahsante JF ,ahsante mleta postyah.. kama umejenga au una mpango wa kujenga... unaweza kutega sehemu fulani katika nyumba yako unaweka hiyo FAKE WALL.. muhimu sana.. wenye pesa huwa wanaweka FAKE ROOM,FAKE DOOR.. kama jambaz haijui ramani ya nyumba... anazunguka kote ila hauonekani.. au anakuta ushasepa nje
Usinywe kama hujawahi shostHapana hata wine sijawahi
Inakuwaje hiyo fake yaan?yah.. kama umejenga au una mpango wa kujenga... unaweza kutega sehemu fulani katika nyumba yako unaweka hiyo FAKE WALL.. muhimu sana.. wenye pesa huwa wanaweka FAKE ROOM,FAKE DOOR.. kama jambaz haijui ramani ya nyumba... anazunguka kote ila hauonekani.. au anakuta ushasepa nje
FAKE inakuja pale sisi wageni tunaamini kuwa nyumba nzima kingo zake ni zimejengwa kwa TOFALI.. kumbe kuna sehemu mwenye nyumba (FAMILIA pekee) wanajua kuwa kuna material mepesi yamejengewa means ukitumia nguvu kupita unapitiliza hadi nje.. au unaweza kufungua kwa kutegua kibao au wengine kwa USIRI zaidi huwa wanaweka kabati mbele ya fake wall au wanaweka PICHA kubwa mbele yake.. ikitokea la kutokea anashusha picha anapita na teke kidogo tu..(kama hana muda wa kutegua kibao au kiloki)Inakuwaje hiyo fake yaan?
MUHIMU.... hii milango tunayoitegemea siku zote inakuwa ngumu sana kuifikia ikitokea BALAA.. TAHADHARI NI NZURIUmenipa akili ngoja nimpe ,contractor Wangu hii kitu,ahsante JF ,ahsante mleta post
Hii idea yako nimeichukua,naifanyia kazi ,ahsante MkuuFAKE inakuja pale sisi wageni tunaamini kuwa nyumba nzima kingo zake ni zimejengwa kwa TOFALI.. kumbe kuna sehemu mwenye nyumba (FAMILIA pekee) wanajua kuwa kuna material mepesi yamejengewa means ukitumia nguvu kupita unapitiliza hadi nje.. au unaweza kufungua kwa kutegua kibao au wengine kwa USIRI zaidi huwa wanaweka kabati mbele ya fake wall au wanaweka PICHA kubwa mbele yake.. ikitokea la kutokea anashusha picha anapita na teke kidogo tu..(kama hana muda wa kutegua kibao au kiloki)
mie nimepanga fake door yangu naisetia CHUMBANI.. katika kabati la nguo.. nyuma yake naiweka hiyo exit way.. means nafungua kabati najifungia ndani ya kabati.. natekenya kijiukuta changu cha mbao.. kinaporomoka natoka zangu nje... MIJAMBAZI/MOTO/FUMANIZI vyote naepuka kirahisi...
YAH tuishi kwa kujiongeza mkuu... pamoja sanaHii idea yako nimeichukua,naifanyia kazi ,ahsante Mkuu
Na sina hata wazoUsinywe kama hujawahi shost
Taken!FAKE inakuja pale sisi wageni tunaamini kuwa nyumba nzima kingo zake ni zimejengwa kwa TOFALI.. kumbe kuna sehemu mwenye nyumba (FAMILIA pekee) wanajua kuwa kuna material mepesi yamejengewa means ukitumia nguvu kupita unapitiliza hadi nje.. au unaweza kufungua kwa kutegua kibao au wengine kwa USIRI zaidi huwa wanaweka kabati mbele ya fake wall au wanaweka PICHA kubwa mbele yake.. ikitokea la kutokea anashusha picha anapita na teke kidogo tu..(kama hana muda wa kutegua kibao au kiloki)
mie nimepanga fake door yangu naisetia CHUMBANI.. katika kabati la nguo.. nyuma yake naiweka hiyo exit way.. means nafungua kabati najifungia ndani ya kabati.. natekenya kijiukuta changu cha mbao.. kinaporomoka natoka zangu nje... MIJAMBAZI/MOTO/FUMANIZI vyote naepuka kirahisi...
Nishamtumia Mkuu ,nafumua ramani yote ,ili hili wazo lipate nafasiYAH tuishi kwa kujiongeza mkuu... pamoja sana