Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,620
- 27,589
- Thread starter
- #201
Inauzwa sh ngapiKuna sparkling wine inaitwa " Freixnet
Ile wine ni balaa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inauzwa sh ngapiKuna sparkling wine inaitwa " Freixnet
Ile wine ni balaa!
65000Inauzwa sh ngapi
Sawa ,nitakupa ofa siku ,unywe tani yakoMpaka ninuwe nyingiii
Nilivyo bahili sasa65000
Ofa mbaya nanunua mwenyeweSawa ,nitakupa ofa siku ,unywe tani yako
Kila mwanamke bahili[emoji23] [emoji23] [emoji23]Nilivyo bahili sasa
Ahahahah yaan mim labda anunue mwingine tunywe hata nikipewa hiyo pesa siwezi nunua ntaenda nunua ya 15000,mpenzi huwa akiniambia kanywe kitu fulan baadae ananiuliza hivi umekunywa kweli nikianza kucheka tu anajua sijanywaa na kweliiKila mwanamke bahili[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahaha ,we kiboko ,ofa yangu ni mguu kwa mguu hadi kaunta [emoji23] [emoji23]Ahahahah yaan mim labda anunue mwingine tunywe hata nikipewa hiyo pesa siwezi nunua ntaenda nunua ya 15000,mpenzi huwa akiniambia kanywe kitu fulan baadae ananiuliza hivi umekunywa kweli nikianza kucheka tu anajua sijanywaa na kwelii
Wanawake sie ni bahili kuzidi hata wanaume
G wangu hunitumia pesa ya kwenda kunywa sasa mi siku ingine siendi naenda movie ,akinipigia simu mpenzi leo umekunywa wine au whisky namjibu huku nacheka "ndio"sasa nashindwa kujizuia kucheka maana najua sijanywa ananiambia "mama sabrina mama sabrina acha uongo " basi akisema hivyo nitacheka namuambia kweli sijanywa nimeenda movie ,,ananiambia yaan mpenzi wangu we hata pesa ya kupewa unaifanyia ubahilo sikuweziiii[emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha ,we kiboko ,ofa yangu ni mguu kwa mguu hadi kaunta [emoji23] [emoji23]
Ubaya wake?Ofa mbaya nanunua mwenyewe
Hahaha, sasa inabidi awe ananua na kukuwekea kwa fridge ,ila we utakua mchaga au mpare si kwa ubahili/bajeti hizoG wangu hunitumia pesa ya kwenda kunywa sasa mi siku ingine siendi naenda movie ,akinipigia simu mpenzi leo umekunywa wine au whisky namjibu huku nacheka "ndio"sasa nashindwa kujizuia kucheka maana najua sijanywa ananiambia "mama sabrina mama sabrina acha uongo " basi akisema hivyo nitacheka namuambia kweli sijanywa nimeenda movie ,,ananiambia yaan mpenzi wangu we hata pesa ya kupewa unaifanyia ubahilo sikuweziiii[emoji23][emoji23][emoji23]
Masista duu utawajua tu.Mibia aaaaagh!...sijui naonaje kwa mdada!
Akiwepo siwezi fanya hivyo [emoji23][emoji23] kumdanganya live ngumuHahaha, sasa inabidi awe ananua na kukuwekea kwa fridge ,ila we utakua mchaga au mpare si kwa ubahili/bajeti hizo
Kulewa na watu usowajua nimkujitoa sadakaUbaya wake?
Asee niwekee kilo moja roast arifuDah pole mama Sabrina!! Nina mkasa unaofanana na wako kidogo,kuna siku panya walikua wanasumbua sana kwenye store ya kihifadhia pumba ya kulisha nguruwe!! Siku moja niko free nikasema ngoja niwakomeshe maana nilikua hata nikiwawekea sumu hawali,.
Nikatoa magunia yote ya pumba nikacha moja tu ambalo kwa chini nilikua na mbao ambazo wamejificha humo.
Nikachukua mpini wa jembe nikawasha na taa yenye mwanga mkali nikabamiza mlango paaaah! Ili nikitembeza rungu wasitoke!! Niuwe wote
Nikatoa lile gunia ambalo kwa chini panya wengi wamejificha kwenye zile mbao,walitoka panya wengi wakirandaranda wasione pakutokea!.
Mi nikaanza kutembeza rungu nikaua wote pamoja na vitoto(sikumbuki idadi)
Nakuja kufungua mlango niwatoe nifanye usafi mlango haufunguki!! Vuta wapi kitasa kimejiloku afu home nipo alone simu ipo chaji geto
Nakumbuka nilikaa mle store kuanzia sasa 11 jioni mpaka kesho yake saa 2 asubuhi ambapo nilipata wazo la kutoboa ceiling board nikapita daarini mpaka kutobozea kwenye korido ya geto
Mimi nitajitahidi unijue kwanza,au nije zone yako uwe comfortable kupokea ofaKulewa na watu usowajua nimkujitoa sadaka
Nashukuru sana ,,ruhusa hiyo sitopataMimi nitajitahidi unijue kwanza,au nije zone yako uwe comfortable kupokea ofa
Nah nah...how do u take or think when see a lady hold that bottle? With such foams[emoji481] [emoji481] [emoji481] [emoji481] [emoji481]Masista duu utawajua tu.
Achana nae wityMasista duu utawajua tu.
HahahahahDah pole mama Sabrina!! Nina mkasa unaofanana na wako kidogo,kuna siku panya walikua wanasumbua sana kwenye store ya kihifadhia pumba ya kulisha nguruwe!! Siku moja niko free nikasema ngoja niwakomeshe maana nilikua hata nikiwawekea sumu hawali,.