Yamenikuta leo Mama G

Hahaha yani hata mm nimeshajifungia haya mavitasa ya kichina yanaboa nashukuru wale wakaka wafanya usafi nje walichukua ufunguo sebleni wakanifungulia kwa nje tena nilikuwa chooni sitasahau nikienda chooni naegesha mlango
Mimi si kujifungia, kuna siku nilisahau funguo kazini.Miakazaidi ya 10 imepita sasa.

Mwenyewe nimeweka funguo katika ki USB drive kina keyholder, sasa niko kazini nafanya nini kwenye computer, nikaunganisha USB drive yenye funguo kwenye computer. Nikaisahau.

Nimeenda mpaka nyumbani, nimefika mlangoni, najisachi, najikuta sina funguo.

Pale pale nikakumbuka funguo lazima zitakuwa na USB drive kwenye computer pale.

Sikuhiyo ilibidi niende kazini mara mbili na kurudi nyumbani mara mbili.

Maisha ya u bachelor, ukijifungia nje, hakuna wa kukufungulia, ikabidi nirudi tena kazini, nichukue ufunguo, nirudi tena nyumbani.

Kuanzia siku hiyo, nikitoka popote full check lazima, simu, wallet, funguo, kila kitu.
 
Ilikua 2008 mr frauchdese
 
Mawazo yangu yameenda mbali sana ningali nasoma hii kadhia. Nilianza kufikiri na kutafakari siku roho ya binadamu i napoanza kutoka kuwa unakuwa huwezi pata msaada hata kwa mtu yyte ni kila mtu na mola wake.
Daah!same to me!
 
Ilikua 2008 mr frauchdese
Nimelipanda treni langu mnyamwezi kutoka Wall St. mpaka uptown, najipiga mfukoni naona hakuna mlio wa kwerekwere.

Ikabidi nilipande tena subway kutoka uptown mpaka Wall St, nichukue funguo, nirudi zangu uptown tena.

Lilikuwa ni fundisho siwezi kusahau siku ile.
 
Yaani ukalala store na panya [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Unaonyesha laini sana...hujakutana na shurba zakufanya, shughuli zakutoa jasho(kama kukata kuni),Wewe zaidi ya ile ufanyayo kwa bed hakuna nyingine yakukutoa jasho.Pole lakini siku nyingine ikitokea niite nami nitasikia nitakuja kukuvika taulo mway.
We kuvunja mlango ni kazi
 
Hapo sawa,pole sana kwa hili tukio,ila pia pongezi kwa kufanya zoezi ,ningeshangaa km master bedroom umeweka mlango maana kwangu hkn mlango ni pazia tu la plastic MTU naona km kivuli
Acha tu sasa kwanini usiweke mlango
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…