Yamenikuta leo Mama G

Pole sana G
 
Hahahahaha acha tu ni sinywe sana siku nyingine kunywa whisky

hayo maspirit yalinishindaga nilianzaga grants..nikaja JD...nikahamia jameson hadi captain morgan zote zikanishinda ...huwa nakunywa wine ila kwa habari njema kama hizi wine lazima niipumzishe kama wiki mbili

maisha yenyewe mafupi nisije nikafa huku sijanywa za buku buku
 
Duuuuh pole sana mkuu kama ndo ingekuwa na tower la ghorofa ungevunja mlango hapo
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kama namuoana vile alivyoumbikaaaaaa
 
aiseee! pole xana
 

pole.. ila huu ni ushauri kwa watu wote
MLANGO UNAPASWA KUFUNGUKA KWA NJE... in case ikitokea BALAA lolote ni rahisi kuvunja.

Lab doors huwa inafunguka kwa nje.. ikitokea ajali ya moto watu wanapiga teke wanasepa nje.. tofauti ukiwa unafunguka kwa ndani.. mijitu inajazana mlangoni kila mtu anawahi kitasa avute ndani wakati nyuma yake kuna mijitu mingine inasukumana kutoka nje.. mwisho wa siku wanadedi kama kuku
 
Hii kiboko
 
Iliwahi nitokea ila bahati nzuri kaka angu mmoja alikuwepo..akapanda kwenye silingibodi ya stoo akatambaa hadi Usawa wa bafu akanirushia funguo..ila nilipiga kelele sana Siku ile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…