Jimmie Gatsby
JF-Expert Member
- Mar 7, 2013
- 3,587
- 7,272
Yaan tutakunywa haswa [emoji23][emoji23][emoji23]
maendeleo yangu ya zoezi la kata tumbo naona yanavyorudishwa nyuma kwa habari njema kama hizi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaan tutakunywa haswa [emoji23][emoji23][emoji23]
Pole sana GSina hamu na kila kitu hapa ,,ni hivi nilikuwa nafanya usafi chumbani kwangu na kupanga kila kitu ila kuondoa vumbi nimemaliza nikawa nafanya usafi nyumba yote sasa hapo nawaza nikaangalie movie (mission impossible fallout)
nikamaliza kila kitu kikawa mahala pale,kuja kuangalia muda nikawa nimechelewa hiyo movie nikaona kuna muda mwingine ambayo ni saa 1 jioni hii nikasema fresh haina shida ntaenda muda huo ,G wangu akapiga simu tukaanza kuongea weeee tukajipa break maana yupo kazini, si nikasema niende kuoga nimeingia hivi nikaubamiza mlango nikaendelea kuoga ...
Kasheshe likaanza nataka nifungue mlango mamamaweee mlango haufunguki ,vuta vuta wapiiii nikaanza kuuvuta kwa chini hakuna ,,nikashika kitasa nikavuta wapii, nikaona nitoe taulo nitupe pembeni nikaona linanibana ,nimehangaika nyie niko peke yangu nyumba nzima mlango wa sebuleni nimeufunga kwa ndani,,nikawaza sasa hapa hata nikichungulia kwenye dirisha la bafuni nikaita mtu atapitaje wakati sebuleni kule nimefunga mlango ,nikakaa kwenye sinki nimekaa machozi kama yanataka kunitoka maana nimefanya vyote havijanisaidia ,,nikawaza jamani nani sasa atanisaidia simu zipo chumbani tena nimeacha zinalia muziki wa baila ,jamani nikainuka tena nikaanza kuvuta kitasa (nikaanza kupatia picha kama kwenye movie mtu akibomoa mlango)nikapiga teke wapii kumbuka hapo nipo uchi huku narusha mateke kuupiga mlango lakin holaaa.,
Nikajisemea alieniambia nije kuoga nanii jamani au uchawi huu,,kumbuka hapo nishaubamiza mlango kwa mateke na kuusukuma kwa nguvu ,kuvuta kitasa kikang'oka nikasema leo ni leo !!!!!!!![emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22] hiii nikaweka taulo chini nikalikalia kabisa nikaanza kuwafikiria watu ninaowajua wangekuwa karibu wangenisaidia ,nimepata tabu leo ,
Nikasema sasa hapa nimeng'oa kitasa nafanyaje sasa nikanyanyuka tena piga teke ,sukuma ,bamiza mpaka mwili ukatoa jasho baadae nikaona nichukue kile kitasa pale pa kushikia nikapageuza ili nianze kung'oa kiubao kilikuwa kimeshikiwa pale kwenye eneo la kitasa bahati nzuri nikaweza kuving'oa baadhi nikaanza kuchokonoa mlango ukafunguka nikapumuua kwa nguvuu nikajimwagia maji halaf nikatoka ,sina hamu nako kabisa nimejilaza hapa nasubiria ifike saa 12 na nusu niondoke zangu nikazurure mall ...
Hapa mwili unanitetemeka ,vidole vimekosa nguvu ,miguu imechoka yaan nimefanya zoezi kwa lazima..
Basi bana ndio tabu ilonikuta muda si mrefu jamani hebu patia picha usingefunguka ingekuwaje G yupo mbali ningefanyaje majirani wasingenisikia kabisa labda wapita njia ambao siwafahamu
Jioni njema
Hahahahaha acha tu ni sinywe sana siku nyingine kunywa whiskymaendeleo yangu ya zoezi la kata tumbo naona yanavyorudishwa nyuma kwa habari njema kama hizi
ShukraniPole sana G
Hahahahaha acha tu ni sinywe sana siku nyingine kunywa whisky
Niliwahi kujifungia chooni kwani nilisahau upande hakunakitasa ikawa mm mh majanaga kelele kupigaShukrani
Duuuuh pole sana mkuu kama ndo ingekuwa na tower la ghorofa ungevunja mlango hapoDah pole mama Sabrina!! Nina mkasa unaofanana na wako kidogo,kuna siku panya walikua wanasumbua sana kwenye store ya kihifadhia pumba ya kulisha nguruwe!! Siku moja niko free nikasema ngoja niwakomeshe maana nilikua hata nikiwawekea sumu hawali,.
Nikatoa magunia yote ya pumba nikacha moja tu ambalo kwa chini nilikua na mbao ambazo wamejificha humo.
Nikachukua mpini wa jembe nikawasha na taa yenye mwanga mkali nikabamiza mlango paaaah! Ili nikitembeza rungu wasitoke!! Niuwe wote
Nikatoa lile gunia ambalo kwa chini panya wengi wamejificha kwenye zile mbao,walitoka panya wengi wakirandaranda wasione pakutokea!.
Mi nikaanza kutembeza rungu nikaua wote pamoja na vitoto(sikumbuki idadi)
Nakuja kufungua mlango niwatoe nifanye usafi mlango haufunguki!! Vuta wapi kitasa kimejiloku afu home nipo alone simu ipo chaji geto
Nakumbuka nilikaa mle store kuanzia sasa 11 jioni mpaka kesho yake saa 2 asubuhi ambapo nilipata wazo la kutoboa ceiling board nikapita daarini mpaka kutobozea kwenye korido ya geto
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kama namuoana vile alivyoumbikaaaaaaNilichogundua ni kwamba kwanza ulisafiri .. Una nyumba..unapenda muvi za mapigano ...hauna time table specific unafanya fanya vitu kichwa chako kitakavyokutuma .... Unapenda kumsumbua mpenzi wako akiwa kazin kutafuta kipato... Una mlango wa chuma ... Taulo lako jeupe na linakubana bana sana una sinki mama ... Unapenda mziki wa baila .... Lakini kubwa kuliko yote [emoji24] huon aibu kukaa uchi
UmeonaeeewUnatumia Nguvu nyingiii alafu Akili kiduchuu!!
Tatizo hilo
aiseee! pole xanaSina hamu na kila kitu hapa ,,ni hivi nilikuwa nafanya usafi chumbani kwangu na kupanga kila kitu ila kuondoa vumbi nimemaliza nikawa nafanya usafi nyumba yote sasa hapo nawaza nikaangalie movie (mission impossible fallout)
nikamaliza kila kitu kikawa mahala pale,kuja kuangalia muda nikawa nimechelewa hiyo movie nikaona kuna muda mwingine ambayo ni saa 1 jioni hii nikasema fresh haina shida ntaenda muda huo ,G wangu akapiga simu tukaanza kuongea weeee tukajipa break maana yupo kazini, si nikasema niende kuoga nimeingia hivi nikaubamiza mlango nikaendelea kuoga ...
Kasheshe likaanza nataka nifungue mlango mamamaweee mlango haufunguki ,vuta vuta wapiiii nikaanza kuuvuta kwa chini hakuna ,,nikashika kitasa nikavuta wapii, nikaona nitoe taulo nitupe pembeni nikaona linanibana ,nimehangaika nyie niko peke yangu nyumba nzima mlango wa sebuleni nimeufunga kwa ndani,,nikawaza sasa hapa hata nikichungulia kwenye dirisha la bafuni nikaita mtu atapitaje wakati sebuleni kule nimefunga mlango ,nikakaa kwenye sinki nimekaa machozi kama yanataka kunitoka maana nimefanya vyote havijanisaidia ,,nikawaza jamani nani sasa atanisaidia simu zipo chumbani tena nimeacha zinalia muziki wa baila ,jamani nikainuka tena nikaanza kuvuta kitasa (nikaanza kupatia picha kama kwenye movie mtu akibomoa mlango)nikapiga teke wapii kumbuka hapo nipo uchi huku narusha mateke kuupiga mlango lakin holaaa.,
Nikajisemea alieniambia nije kuoga nanii jamani au uchawi huu,,kumbuka hapo nishaubamiza mlango kwa mateke na kuusukuma kwa nguvu ,kuvuta kitasa kikang'oka nikasema leo ni leo !!!!!!!![emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22] hiii nikaweka taulo chini nikalikalia kabisa nikaanza kuwafikiria watu ninaowajua wangekuwa karibu wangenisaidia ,nimepata tabu leo ,
Nikasema sasa hapa nimeng'oa kitasa nafanyaje sasa nikanyanyuka tena piga teke ,sukuma ,bamiza mpaka mwili ukatoa jasho baadae nikaona nichukue kile kitasa pale pa kushikia nikapageuza ili nianze kung'oa kiubao kilikuwa kimeshikiwa pale kwenye eneo la kitasa bahati nzuri nikaweza kuving'oa baadhi nikaanza kuchokonoa mlango ukafunguka nikapumuua kwa nguvuu nikajimwagia maji halaf nikatoka ,sina hamu nako kabisa nimejilaza hapa nasubiria ifike saa 12 na nusu niondoke zangu nikazurure mall ...
Hapa mwili unanitetemeka ,vidole vimekosa nguvu ,miguu imechoka yaan nimefanya zoezi kwa lazima..
Basi bana ndio tabu ilonikuta muda si mrefu jamani hebu patia picha usingefunguka ingekuwaje G yupo mbali ningefanyaje majirani wasingenisikia kabisa labda wapita njia ambao siwafahamu
Jioni njema
Tena vilw vidirisha vya juuuUkisikia near death experience ndio ile maana nilipiga kelele hakuna aliyesikia,mle joto kali mixer hewa nzito nilikua 2011 nimeandika kwa diary yangu
Sina hamu na kila kitu hapa ,,ni hivi nilikuwa nafanya usafi chumbani kwangu na kupanga kila kitu ila kuondoa vumbi nimemaliza nikawa nafanya usafi nyumba yote sasa hapo nawaza nikaangalie movie (mission impossible fallout)
nikamaliza kila kitu kikawa mahala pale,kuja kuangalia muda nikawa nimechelewa hiyo movie nikaona kuna muda mwingine ambayo ni saa 1 jioni hii nikasema fresh haina shida ntaenda muda huo ,G wangu akapiga simu tukaanza kuongea weeee tukajipa break maana yupo kazini, si nikasema niende kuoga nimeingia hivi nikaubamiza mlango nikaendelea kuoga ...
Kasheshe likaanza nataka nifungue mlango mamamaweee mlango haufunguki ,vuta vuta wapiiii nikaanza kuuvuta kwa chini hakuna ,,nikashika kitasa nikavuta wapii, nikaona nitoe taulo nitupe pembeni nikaona linanibana ,nimehangaika nyie niko peke yangu nyumba nzima mlango wa sebuleni nimeufunga kwa ndani,,nikawaza sasa hapa hata nikichungulia kwenye dirisha la bafuni nikaita mtu atapitaje wakati sebuleni kule nimefunga mlango ,nikakaa kwenye sinki nimekaa machozi kama yanataka kunitoka maana nimefanya vyote havijanisaidia ,,nikawaza jamani nani sasa atanisaidia simu zipo chumbani tena nimeacha zinalia muziki wa baila ,jamani nikainuka tena nikaanza kuvuta kitasa (nikaanza kupatia picha kama kwenye movie mtu akibomoa mlango)nikapiga teke wapii kumbuka hapo nipo uchi huku narusha mateke kuupiga mlango lakin holaaa.,
Nikajisemea alieniambia nije kuoga nanii jamani au uchawi huu,,kumbuka hapo nishaubamiza mlango kwa mateke na kuusukuma kwa nguvu ,kuvuta kitasa kikang'oka nikasema leo ni leo !!!!!!!![emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22] hiii nikaweka taulo chini nikalikalia kabisa nikaanza kuwafikiria watu ninaowajua wangekuwa karibu wangenisaidia ,nimepata tabu leo ,
Nikasema sasa hapa nimeng'oa kitasa nafanyaje sasa nikanyanyuka tena piga teke ,sukuma ,bamiza mpaka mwili ukatoa jasho baadae nikaona nichukue kile kitasa pale pa kushikia nikapageuza ili nianze kung'oa kiubao kilikuwa kimeshikiwa pale kwenye eneo la kitasa bahati nzuri nikaweza kuving'oa baadhi nikaanza kuchokonoa mlango ukafunguka nikapumuua kwa nguvuu nikajimwagia maji halaf nikatoka ,sina hamu nako kabisa nimejilaza hapa nasubiria ifike saa 12 na nusu niondoke zangu nikazurure mall ...
Hapa mwili unanitetemeka ,vidole vimekosa nguvu ,miguu imechoka yaan nimefanya zoezi kwa lazima..
Basi bana ndio tabu ilonikuta muda si mrefu jamani hebu patia picha usingefunguka ingekuwaje G yupo mbali ningefanyaje majirani wasingenisikia kabisa labda wapita njia ambao siwafahamu
Jioni njema
Hapan tungeweka midomo waziKungekuwa na camera inanichukua mngecheka mpaka mzimie acha tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]Kumbe ana li wowowo
Asee kumbe si mchezoKabarikiwa mama s
Hujatulia wewe,kumbe eeehHehehehehe acha mlango ukifunga kelele hazisikiki unafungulia na maji waaaaaaa
Hii kibokoDah pole mama Sabrina!! Nina mkasa unaofanana na wako kidogo,kuna siku panya walikua wanasumbua sana kwenye store ya kihifadhia pumba ya kulisha nguruwe!! Siku moja niko free nikasema ngoja niwakomeshe maana nilikua hata nikiwawekea sumu hawali,.
Nikatoa magunia yote ya pumba nikacha moja tu ambalo kwa chini nilikua na mbao ambazo wamejificha humo.
Nikachukua mpini wa jembe nikawasha na taa yenye mwanga mkali nikabamiza mlango paaaah! Ili nikitembeza rungu wasitoke!! Niuwe wote
Nikatoa lile gunia ambalo kwa chini panya wengi wamejificha kwenye zile mbao,walitoka panya wengi wakirandaranda wasione pakutokea!.
Mi nikaanza kutembeza rungu nikaua wote pamoja na vitoto(sikumbuki idadi)
Nakuja kufungua mlango niwatoe nifanye usafi mlango haufunguki!! Vuta wapi kitasa kimejiloku afu home nipo alone simu ipo chaji geto
Nakumbuka nilikaa mle store kuanzia sasa 11 jioni mpaka kesho yake saa 2 asubuhi ambapo nilipata wazo la kutoboa ceiling board nikapita daarini mpaka kutobozea kwenye korido ya geto
HahahaHii kiboko