Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,178
- 39,641
Sio vituko tu mkuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] watu mna vtukoo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio vituko tu mkuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] watu mna vtukoo
Mimi si kujifungia, kuna siku nilisahau funguo kazini.Miakazaidi ya 10 imepita sasa.Hahaha yani hata mm nimeshajifungia haya mavitasa ya kichina yanaboa nashukuru wale wakaka wafanya usafi nje walichukua ufunguo sebleni wakanifungulia kwa nje tena nilikuwa chooni sitasahau nikienda chooni naegesha mlango
Ile wine ndogo vile na castle mbili siwezi lewa aiseeZile pombe ulizokuwa unapiga...zimekuisha kichwani?
Ilikua 2008 mr frauchdeseMimi si kujifungia, kuna siku nilisahau funguo kazini.Miakazaidi ya 10 imepita sasa.
Mwenyewe nimeweka funguo katika ki USB drive kina keyholder, sasa niko kazini nafanya nini kwenye computer, nikaunganisha USB drive yenye funguo kwenye computer. Nikaisahau.
Nimeenda mpaka nyumbani, nimefika mlangoni, najisachi, najikuta sina funguo.
Pale pale nikakumbuka funguo lazima zitakuwa na USB drive kwenye computer pale.
Sikuhiyo ilibidi niende kazini mara mbili na kurudi nyumbani mara mbili.
Maisha ya u bachelor, ukijifungia nje, hakuna wa kukufungulia, ikabidi nirudi tena kazini, nichukue ufunguo, nirudi tena nyumbani.
Kuanzia siku hiyo, nikitoka popote full check lazima, simu, wallet, funguo, kila kitu.
Kumbe je!Sio vituko tu mkuu
[emoji15]Kumbe je!
Daah!same to me!Mawazo yangu yameenda mbali sana ningali nasoma hii kadhia. Nilianza kufikiri na kutafakari siku roho ya binadamu i napoanza kutoka kuwa unakuwa huwezi pata msaada hata kwa mtu yyte ni kila mtu na mola wake.
[emoji23] [emoji23] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji23] unalinda goliYaan ukiwa na mimi kila mtu anajua kama kuna michepuko ijue tu yenyewe ijifiche
Nimelipanda treni langu mnyamwezi kutoka Wall St. mpaka uptown, najipiga mfukoni naona hakuna mlio wa kwerekwere.Ilikua 2008 mr frauchdese
Yaani ukalala store na panya [emoji23] [emoji23] [emoji23]Dah pole mama Sabrina!! Nina mkasa unaofanana na wako kidogo,kuna siku panya walikua wanasumbua sana kwenye store ya kihifadhia pumba ya kulisha nguruwe!! Siku moja niko free nikasema ngoja niwakomeshe maana nilikua hata nikiwawekea sumu hawali,.
Nikatoa magunia yote ya pumba nikacha moja tu ambalo kwa chini nilikua na mbao ambazo wamejificha humo.
Nikachukua mpini wa jembe nikawasha na taa yenye mwanga mkali nikabamiza mlango paaaah! Ili nikitembeza rungu wasitoke!! Niuwe wote
Nikatoa lile gunia ambalo kwa chini panya wengi wamejificha kwenye zile mbao,walitoka panya wengi wakirandaranda wasione pakutokea!.
Mi nikaanza kutembeza rungu nikaua wote pamoja na vitoto(sikumbuki idadi)
Nakuja kufungua mlango niwatoe nifanye usafi mlango haufunguki!! Vuta wapi kitasa kimejiloku afu home nipo alone simu ipo chaji geto
Nakumbuka nilikaa mle store kuanzia sasa 11 jioni mpaka kesho yake saa 2 asubuhi ambapo nilipata wazo la kutoboa ceiling board nikapita daarini mpaka kutobozea kwenye korido ya geto
Na hili wazo lilinijiia kabisa,rafiki ulinilaaniRafiki hiyo ni laana ya kupanda ile ndege iliyoandikwa hapa kazi tu![emoji53][emoji53][emoji53]
AsantePoleee
Kungekuwa na camera inanichukua mngecheka mpaka mzimie acha tu[emoji23][emoji16][emoji3][emoji6]yaani wewe hapo uko uchi na weupe huo na wowowo hilooo
We kuvunja mlango ni kaziUnaonyesha laini sana...hujakutana na shurba zakufanya, shughuli zakutoa jasho(kama kukata kuni),Wewe zaidi ya ile ufanyayo kwa bed hakuna nyingine yakukutoa jasho.Pole lakini siku nyingine ikitokea niite nami nitasikia nitakuja kukuvika taulo mway.
Sasa hivi viko poa angalauPole sana white....
Fanya kuviloweka kwenye maji ya uvuguvugu vitakaa sawa....
Yaan tutakunywa haswa [emoji23][emoji23][emoji23]weekend hii za buku zitakoma asee.... yani wekundu wawili viserengeti lite 20 alafu vyote sasa naagiza kwa pamoja vinapangwa kwenye meza
nakata kimoja kimoja
Acha tu sasa kwanini usiweke mlangoHapo sawa,pole sana kwa hili tukio,ila pia pongezi kwa kufanya zoezi ,ningeshangaa km master bedroom umeweka mlango maana kwangu hkn mlango ni pazia tu la plastic MTU naona km kivuli