Clark boots
JF-Expert Member
- Jun 5, 2017
- 6,770
- 6,202
Naamini mko poa wajuba,,, issue iko hv,, mda si mrefu nilikuwa na mpenzi wangu tunapiga story za hapa na pale na nikiri tu kuwa huyu Demu nampenda kinoumah na siwezi maliza siku bila kuhitaji nikutane nae tupige stori.
Sasa tumepiga story na story zikafika tamati, nikaamua nimsogelee kifuani kwake nianze kudeka kidgo. So nimemshikilia huku nikimpa maneno matamu sasa ktk maneno ya mahaba nikataka kutaja jina lake bahati mbaya nikataja jina lingine jamani duuuh.
Na hapa niseme ukweli tu hili jina lililonitoka kutaja ni jina la Demu wangu wa kitambo toka 2018 na mpaka leo tupo pamoja japo tunaishi mikoa tofauti for now na tunaendelea kuwasiliana, pia ni-declare my interest kuwa Huyu Demu wa kitambo nimemzoea sana na huyu wa sasa hata miez 6 haijafika toka tuingie penzini.
Jambo lingine lililoni-confuse Hadi kufikia kutamka jina la Demu wa kitambo ni mfanano wa majina Yao kiutamkaaji(pronouncing), naweka mfano wa majina hapa chini japo sio majina sahihi kwa hawa mademu zangu:-
JAMILLAH - SHAMILAH
ZALBIAH - SHAMSIAH.
Yaaap majina yapo mfumo kama huo.
Sasa nimalizie,
Nilijtahidi kijisahihisha kwa Kusema "Cheki nilivyodata kwako mpaka nakosea jina[emoji16][emoji16]" BUT actually nilifadhaika na deko lote likaniishia hapo, niakumuaga haraka then tukaachana.
Hakuzungumza lolote kuhusu kukosea kwangu jina bali aliongea tu vitu vingine kiutani nami nikijibu huku Kila mtu akishika njia yake.
So hapa nawaza kama demu kahisi kitu chochote au vp.. Ila kitu kinachonipa moyo ni mfanano wa majina na nilishajitetea kimtindo.
Vp Mdau mwenzangu ishawahi kukukuta Scenerio kama hii....? Tuambie ilikuwaje..