Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Acha u FUSKA kijana tulia njia kuu..
View attachment 2038697
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mambo madogo ayo watu hadi huwa tunakosea mashimo ya kuingiza nyama kavu iliyokakamaa kama mti.
Au nasema uwongo ndugu zangu.
Dah,imenitokea juzi Mimi,kawaida nikiwa nakula mzigo naongeaongea maneno kibao kwa utamu,nakumuita jina mwanamke wangu, Sasa juzi nimejichanganya wakati nashusha mzigo sinikaita jina la mchepuko wangu wa nje,Naamini mko poa wajuba,,, issue iko hv,, mda si mrefu nilikuwa na mpenzi wangu tunapiga story za hapa na pale na nikiri tu kuwa huyu Demu nampenda kinoumah na siwezi maliza siku bila kuhitaji nikutane nae tupige stori.
Sasa tumepiga story na story zikafika tamati, nikaamua nimsogelee kifuani kwake nianze kudeka kidgo. So nimemshikilia huku nikimpa maneno matamu sasa ktk maneno ya mahaba nikataka kutaja jina lake bahati mbaya nikataja jina lingine jamani duuuh.
Na hapa niseme ukweli tu hili jina lililonitoka kutaja ni jina la Demu wangu wa kitambo toka 2018 na mpaka leo tupo pamoja japo tunaishi mikoa tofauti for now na tunaendelea kuwasiliana, pia ni-declare my interest kuwa Huyu Demu wa kitambo nimemzoea sana na huyu wa sasa hata miez 6 haijafika toka tuingie penzini.
Jambo lingine lililoni-confuse Hadi kufikia kutamka jina la Demu wa kitambo ni mfanano wa majina Yao kiutamkaaji(pronouncing), naweka mfano wa majina hapa chini japo sio majina sahihi kwa hawa mademu zangu:-
JAMILLAH - SHAMILAH
ZALBIAH - SHAMSIAH.
Yaaap majina yapo mfumo kama huo.
Sasa nimalizie,
Nilijtahidi kijisahihisha kwa Kusema "Cheki nilivyodata kwako mpaka nakosea jina[emoji16][emoji16]" BUT actually nilifadhaika na deko lote likaniishia hapo, niakumuaga haraka then tukaachana.
Hakuzungumza lolote kuhusu kukosea kwangu jina bali aliongea tu vitu vingine kiutani nami nikijibu huku Kila mtu akishika njia yake.
So hapa nawaza kama demu kahisi kitu chochote au vp.. Ila kitu kinachonipa moyo ni mfanano wa majina na nilishajitetea kimtindo.
Vp Mdau mwenzangu ishawahi kukukuta Scenerio kama hii....? Tuambie ilikuwaje..