wewe ndio umeoaaa au umeolewaaa mbn celewi thread zako
mi nlikaa mwaka mmoja na nusu bila wife kupata ujauzito tukapima vipimo vyote kairuki hosp tukakutwa tuko ok tukaenda kwenye maombi ngoma ikanasa na sasa wife ana katumbo ka miezi mitanoWacha uboya ndio kwanza moezi saba unaanza kulalamika
Pole ndugu bahati mbaya au nzuri matatizo kama yako mie ninayaishi na haya mambo hayataki shortcut mie miaka 4 nimehangaika atleast sasa naweza kuona napata solution kikubwa lazima muanzie hospital tena na wote na daktari mzuri lazima aanze na mwanaume kwani inasemakana asilimia zaidi ya 50 ya wanaume wa dar es salaam hawana uwezo wa kumpa mwanamke mimbaNimeoa sasa miezi saba nimekaribia muda wote huo nimejaribu kutafuta mtoto na mke wangu ila hashiki mimba anaingia mwenzini kila mwezi.
Naomba msaada wa haraka je mke wangu anaeza kuwa na maradhi? Na wapi hospitali nzuri anaweza pata matibabu, hakika ninasononeka sana.
Miezi7 tu??? au nimesoma vibaya ni miaka 7? ni mapema mno hebu tulia, na unajuaje labda ni wewe ndo mwenye tatizo na sio mke wako? au unafikiri wenye matatizo ni wanawake peke yao? na kusema kuwa yamekukuta ni ishara ya kukata tamaa na ukiendelea hivyo ndo hutapata kabsaaa, mana hata ule ufanyaji wako wa tendo la ndo hutawajibika vyema sabab umeshakata tamaa.Nimeoa sasa miezi saba nimekaribia muda wote huo nimejaribu kutafuta mtoto na mke wangu ila hashiki mimba anaingia mwenzini kila mwezi.
Naomba msaada wa haraka je mke wangu anaeza kuwa na maradhi? Na wapi hospitali nzuri anaweza pata matibabu, hakika ninasononeka sana.
Wenzio wanapima oil kwanza,tangu lini wakakwambia ndoa inajaribiwaNimeoa sasa miezi saba nimekaribia muda wote huo nimejaribu kutafuta mtoto na mke wangu ila hashiki mimba anaingia mwenzini kila mwezi.
Naomba msaada wa haraka je mke wangu anaeza kuwa na maradhi? Na wapi hospitali nzuri anaweza pata matibabu, hakika ninasononeka sana.
TayariMiezi7 tu??? au nimesoma vibaya ni miaka 7? ni mapema mno hebu tulia, na unajuaje labda ni wewe ndo mwenye tatizo na sio mke wako? au unafikiri wenye matatizo ni wanawake peke yao? na kusema kuwa yamekukuta ni ishara ya kukata tamaa na ukiendelea hivyo ndo hutapata kabsaaa, mana hata ule ufanyaji wako wa tendo la ndo hutawajibika vyema sabab umeshakata tamaa.
Kwanza nendeni kwa dr. mkamuelezee, awaangalie kama mko poa endeleeni na mchezo, na hata kama utaenda moja ya madr. wakwakambia ana tatizo tumsafishe usikubali mke wako kusafisha mpaka ukahakikishe kwa madr. 2 au 3wengine, wakikupa jibu la kwamba mke wako ana tatizo na anahitaji kusafishwa ndo ufanye hivyo sio ukurupuke tu.
ukishatoka kwa dr. na ukakuta hamna tatizo lolote ni PM, kuna maelezo ntakupa Zaidi na nini chakufanya.