Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kupata mimba kutumia app jamani? App inakuelekeza siku za kupata period, ovulation na mambo kama hayo. Mi nashauri vipimo vya daktari vikihakikisha hakuna tatizo kwa wote wawili , wapate ushauri kitaalamu hapo sasa hiyo app itakuwa muongozo.nenda kwenye google play kuna app itakusaida kukueleezanmn ya kupata mtoto nautuletee mrejesho
Acha gubu wewe baba, hiyo pia inachangia...... Kutompa mkeo MIMBADist we bado kijana hujui thamn ya mtoto na familia
Wewe unatakiwa kua mvumilivu acha kupanic kuna wengine hukaa hadi miaka 5 lkn watu wanakua watulivu na kwa mtazamo huu inaonekana wewe lengo lako kuu la kuoa ni kuzaa watoto hayo ni majaliwa ya Mungu tu cha msingi muishi vizuri km wanandoa.Nimeoa sasa miezi saba nimekaribia muda wote huo nimejaribu kutafuta mtoto na mke wangu ila hashiki mimba anaingia mwenzini kila mwezi.
Naomba msaada wa haraka je mke wangu anaeza kuwa na maradhi? Na wapi hospitali nzuri anaweza pata matibabu, hakika ninasononeka sana.
dakta mwaka kafungiwaYap inawezekan pia na mim ninatatizo..sasa hapa dar wapi nitapata matibabu..pamoja na mke wang