Yamenikuta mwanaume nimekutana na mwanamke msagaji akanitenda

Wote wazima hapa?

Haya mimi nasalimia tu
 
alichokonoa hadi 0713? Ina maana yeye ndiye amekuwa kidume sasa.
 
Wale wasagaji wana vifaa maalumu huwa wanatumia kuingiza (artificial) penis, so jamaa anavosema aliinamishwa akachokonolewa huyu ndio basi akionekana Uganda anafungwa jela kwa miaka isiyopungua 10. Pole sheikh hamia Mombasa usipompata huyo jike dume
 
Huna lolote we ni moja ya mashoga mlio jazana kwasasa kitaani, unajipa promo tu, poa jamaaa wesha kusoma subiri pm za kumwaga uka toe huduma baradhuri mkubwa, eti akaniinamisha shame on u.
 
Mi nijuavyo sehaemu za kuchokonolewa zipo kichwani ! yani masikioni , puani , na mdomoni. Ni wachache wenye vitovu vilivyobonyea ambavyo vyaweza chokonoleka! Mh! kama alikubinua halafu akakuchokonoa huyo hakuwa msagaji bali mfiraji, ungemchunguza kidogo huenda alikuwa 'shemale' na akirudi bora usepe !!
 
Ama kweli kuna dhambi nyingine tuzifanyazo binadamu hata Shetani atazikana.Ila haya yote yameletwa na utandawazi.Waafrika kwa kuiga ndo wenyewe.Haya yangu macho!
 
Nakuombea siku moja ubinuliwe nione kama utakuwa shujaa wa kutuambia

Huna lolote we ni moja ya mashoga mlio jazana kwasasa kitaani, unajipa promo tu, poa jamaaa wesha kusoma subiri pm za kumwaga uka toe huduma baradhuri mkubwa, eti akaniinamisha shame on u.
 
atakuwa amepita na kwenye mfereji huko kwa kupitia mikono, du pole sana, kwa kuwa unamtafuta nilimuona kule mtaa wa JF doctor.
 
Hatari sana hii dunia sijui inaelekea wapi tena kwa kasi namna hii?
 
Akiendelea kukufanyia hivyo kwa wiki mbili tu utakuwa demu wake, na akikuacha kabisa utatafuta mwanaume! Trust me.
 

daaah! I see! Mkuu samahani, ushawai kutembelea ama kuishi maeneo yoyote ya Pwani mf: Dsm, Tanga, Mombasa, Bagamoyo, Zanzibar na mengineyo?

Mkuu nimeshtuka kidogo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…