Yamenikuta mwenzenu

Yamenikuta mwenzenu

[emoji17] [emoji17] [emoji17] [emoji17] [emoji17] [emoji17]leo nmelia sana mpaka sasa sina usingizi siku yangu naiona ndefu ni kama miaka mpaka siku hii kuisha[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] binadamu jamani

Ngoja niweke story yenyewe ila sihitaji PM

Nilikuwa na mpenzi nakiri nilimpenda kwa hali zote.sikua nahitaji pesa wala Mali kutoka kwake nilimpenda ,nilimjali na kumheshimu lakini alibadilika gafla na kuanza kupunguza mawasiliano sikushangaa sana nikajua lambdani shughuli zina mfanya awe hvyo. kwahyo nikaendelea kumvumilia lakini mwisho uvumilivu ulinishinda nikawanamsihi kirafiki tu kama haniitaji aniambie. Lakini ndani ya miaka miwili ya mahusiano jana ananiambia anampenzi na familia yao inampenda sana huyo binti kwahyo hawezi kuwa na mimi
Pole lakini nadhani unampa sana mda wakukaa huyo jamaa kwenye kichwa chako ulitakiwa ujue mwanzo na uwe na Kidumu,lakini bora alivykwambia sasa kuliko angekwambua mda umeshakwisha,tuliza akili usikurupuke kwenye mahusiano mengine kwanz vuta muda na kumbuka kila likuepukalo lina kheir na wewe...
 
J kiria keshawaambia chukua chako mapema hata akija kuzingua ukikumbuka ela alizokupa machungu yanapungua, wee endelea kutoa free p eti unafagilia ndoa
 
kunani tena mbona ujafafanua sasa tatizo nini malyakishu
[emoji17] [emoji17] [emoji17] [emoji17] [emoji17] [emoji17]leo nmelia sana mpaka sasa sina usingizi siku yangu naiona ndefu ni kama miaka mpaka siku hii kuisha[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] binadamu jamani

Ngoja niweke story yenyewe ila sihitaji PM

Nilikuwa na mpenzi nakiri nilimpenda kwa hali zote.sikua nahitaji pesa wala Mali kutoka kwake nilimpenda ,nilimjali na kumheshimu lakini alibadilika gafla na kuanza kupunguza mawasiliano sikushangaa sana nikajua lambdani shughuli zina mfanya awe hvyo. kwahyo nikaendelea kumvumilia lakini mwisho uvumilivu ulinishinda nikawanamsihi kirafiki tu kama haniitaji aniambie. Lakini ndani ya miaka miwili ya mahusiano jana ananiambia anampenzi na familia yao inampenda sana huyo binti kwahyo hawezi kuwa na mimi
duh pole mwaya, nafasi hii tungepataga na sisi wengine tuliotendwa labda we could have made a perfect matching, haya mapenzi haya we acha tu,
 
Ww endelea kuugulia maumivu tuuu sasa ulitaka iweje inaonekana unanyota ya kuachwa
 
kwani Mkuu umekua nae kwa mda gani huyo kiumbe?

ni hivi nna uhakika miaka mitano nyuma hata ulikua humjui sasa nashangaa anakuliza.

kata mti panda mtu kata mti panda mti

tena chagua mti ule ambao unatoa matunda.

nakuhakikishia ukirudi miaka mitano nyuma waaala hata ulikua huwa kuwa nae.

hangaika na maisha yako na ndugu zako uliozaliwa nao tumbo moja sio hawa wajujuu juuu ha ha ha ha

samahani lkn
Easily said than done! 😁
 
[emoji17] [emoji17] [emoji17] [emoji17] [emoji17] [emoji17]leo nmelia sana mpaka sasa sina usingizi siku yangu naiona ndefu ni kama miaka mpaka siku hii kuisha[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] binadamu jamani

Ngoja niweke story yenyewe ila sihitaji PM

Nilikuwa na mpenzi nakiri nilimpenda kwa hali zote.sikua nahitaji pesa wala Mali kutoka kwake nilimpenda ,nilimjali na kumheshimu lakini alibadilika gafla na kuanza kupunguza mawasiliano sikushangaa sana nikajua lambdani shughuli zina mfanya awe hvyo. kwahyo nikaendelea kumvumilia lakini mwisho uvumilivu ulinishinda nikawanamsihi kirafiki tu kama haniitaji aniambie. Lakini ndani ya miaka miwili ya mahusiano jana ananiambia anampenzi na familia yao inampenda sana huyo binti kwahyo hawezi kuwa na mimi
Pole sana. Tupe mrejesho ilikuwaje
 
Back
Top Bottom