Yamenikuta... Sielewi nifanyeje

Yamenikuta... Sielewi nifanyeje

Ngoma nzito...hiyo story yako inaendelea kunihakikishia kuwa nyie wanawake wa siku izi suala la kuolewa mnalipa priority sana? Hivi huwezi kuwa na jamaa kwa ajili ya kula maisha tu mpaka uolewe? Unajua stress nyingine mi naona mnajitafutia wenyewe. Hivi unategemea kuna siku utapata mwanaume wa peke yako kwamba asiwe anamega nje? au asiwe na msururu wa mademu? Wewe kama unamuona jamaa kicheche kula kona, mbona njemba za kukupa starehe ziko kibao? tena unakuwa huru ukiona anakuletea uzushi simple unachimba kuliko kupenda kuolewa olewa kiasi kwamba mkiparangana mnaanza vikao na mambo mengine ya kupotezeana muda...Why?? Kwa niniiiiiii?? Utatafuta wa peke yako hutapata hata siku moja utaishia kufanyia maonyesho tu hiyo naniii kwa kila mtu mwisho unaonekana punch bag!!!
Inaelekea mkuu unamega sana nje!We ni kiwembe sio?Wanaume wote hatupo kama ulivyoreflect hapo juu.
 
Wewe kula chakula bwana acha habari zako
Pili acha usiende kwa huyo binti anayetaka kukupa list ya wanawake waliodili na bwanako
Tatu ni juu yako kuamua kunyoa au kusuka, sio poa sisi tuanze kukuambia achana naye au kaa nae au vumilia, tamu na chungu unaijua wewe mami
Goodmorning
 
pole saana kwa kwa yaliyo kukuta, kwanini usimuombe mungu kama ni mume akupatie mume wa aina yako? mungu ni muweza amini hivyo kwa msaada zaidi nitafute
 
Wewe Doreen kulakona tuu masela wako kibao mitaani wanatafuta mademu wa kuoa..
 
Back
Top Bottom