Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Naomba nikupende au haupo KijijiniKwani watakuelewa basi...
Hadi mtu apigwe na kitu kizito ndo akili inakaa sawa, akirudi normal anaendelea kama kawa.
Na wewe ni suala la muda tu utarudia kuokotaokota