Yamenikuta!

Mtoto wa kike akipewa elimu akapata na kazi, huyo hafai kuwa mke wa mtu.
Duh! Tuna safari ndefu sana. Kwa hiyo wewe hutasomesha watoto wako wa kike ili waje kuwa wake bora kwa waume zao?
 
Yuko sahihi, anamaanisha mwanamke ambaye kaondoka kwao na kaanza maisha ya kujitegemea kwasabb yoyote ile, huwa anakuwa ameutumia vema uhuru wa kuziona suruali za kila aina na mikongojo yao.

Halafu unakuta mpk mtaro ushafukuliwa. Hawafai.
Inategemea mwanamke mwenyewe uwezo wake wa kujitambua na kujiheshimu ni wa kiwango gani.
 
Duh! Tuna safari ndefu sana. Kwa hiyo wewe hutasomesha watoto wako wa kike ili waje kuwa wake bora kwa waume zao?
Sitamuandaa mtoto wangu kuwa mke bora huu ni upuuzi, bali nitaamuandaa kuwa na maisha bora.

Nani kakwambia kuolewa ni jambo la maana? Yaani unamuandaa mtoto kuwa mke? Ebo!
 
Sitamuandaa mtoto wangu kuwa mke bora huu ni upuuzi, bali nitaamuandaa kuwa na maisha bora.
Kule juu umesema mwanamke akipata elimu na kazi hafai kuwa mke wa mtu haya tutoke huko tuje kwa huyu binti yako unaemuandaa kuja kuwa na maisha bora je unaweza kunieleza ni kwa namna ipi utamuandaa kuja kuwa na maisha bora bila elimu wala kazi?

Ama huyu wako ni sawa asome na apate kazi kwa sababu kwako wewe kama baba kuolewa kwa binti yako si jambo la maana so binti abakie na usomi wake bila kuolewa ama una maana nyingine ambayo mimi sijaielewa?
 
je unaweza kunieleza ni kwa namna ipi utamuandaa kuja kuwa na maisha bora bila elimu wala kazi?
Hoja yangu hapa ni kwamba binti yangu nitampa elimu nzuri ili awe namaisha bora. Ili binti kuwa na maisha bora haihitaji mume, bali anahitaji elimu.

Kwahiyo, nitampa elimu kwasabb sihitaji aje kuwa mtumwa (mke ) wa mtu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…