yamenikuta......

Huu uzi umerudi tena? Ama kweli mnashangaza nyie.

Sasa kilichowafanya muutupe kapuni ni nini? Kuna mtu alijistukia akaja kwenu kulalamika ama nyie (viranja) ndiyo mlichemka?

Manake mmeurudisha kama ulivyokuwa awali. Hakuna kilichofutwa wala kuhaririwa. Kwa kweli hamueleweki.
 

Umerudi mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…