mkuu unadai umenyimwa unyumba kwani una haki ya huo unyumba? kwani mkeo huyo? wote mlikuwa mnavunja amri ya sita afu unasema kakunyima? ok sio main point. cha muhimu elewa akupendae kwa dhati hatapenda kukuudhi, nilivokusoma huyu dada sii wako tena ana mwingine na kwake haogopi mkiachana kwani ana pa kukukimbilia, wanawake wanatafuta wa kuwaoa hawapati huyu anakuambia tuachane bado hujamwelewa tu?
From today hebu usipokee simu yake,ikiwezekana blockh her kwa simu yako,usimjibu sms wala email wala kumpigia afu utaona matokeo yake kama hatakuja on her kneels kuomba msamaha, kama ndio MUNGU alokupa basi atajutia vitendo vyake,tatizo mayb ww unambembeleza.shauri yako ndoa ujue ngumu kama ukija kuoa kimeo.