klorokwini
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 8,647
- 5,145
Mcha-mungu+mcha-ga
Mcha Mungu gani anavunja amri ya sita tangu mwaka 2007 na wala hajaolewa? acha kumjoke Sir God bana!
bek to ze main point: naungana na wadau wawili hapo juu, wivu hauna neno "tuachane"! hapo inatafutwa sababu ya kuachana tu na wewe ubebeshwe zigo la lawama. Amka jibaba! karne ya 21 hii