Wameitwa ili kujadili kuhusu wimbo mkuu[emoji1] [emoji1] [emoji1]Wape mda bado haijajulikana kama wameitwa kuhusu huo wimbo au kuhusu kupewa gawio.
Tatizo Kwanini wamemtaja Dada wa taifa kwenye wimbo wao
Lete habari kamili usikimbilie kutoa habari nusu nusu ili uonekane wa kwanzaGreat Thinkers to a maoni yenu
Mwenye nao tunaomba atuwekee tafadhali wengine hatuujui ,tunaomba sana ..
Ila kusema ukweli kaimba ndo nimeusikiabhapa saa hiviDah roma ni kichwa balaaa