Yametimia: BASATA yaupiga pingu wimbo wa ROSTAM(Roma na Stamina) unaoitwa Parapanda

Yametimia: BASATA yaupiga pingu wimbo wa ROSTAM(Roma na Stamina) unaoitwa Parapanda

Status
Not open for further replies.

Livejr

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2014
Posts
2,070
Reaction score
2,794
BASATA tafadhalini tuachie tuburudike na hili goma, jamaa wameng'ata na kupuliza ndani yake
Screenshot_20180806-145639.jpg
 

Attachments

  • Screenshot_20180806-145639.jpg
    Screenshot_20180806-145639.jpg
    50.8 KB · Views: 73
Wape mda bado haijajulikana kama wameitwa kuhusu huo wimbo au kuhusu kupewa gawio.
 
Mwenye nao tunaomba atuwekee tafadhali wengine hatuujui ,tunaomba sana ..
 
Haaaa hii kali,hadi wafu wanaogopwa. Wanaweweseka,hawana amani,wanapata nightmares
 
Kufanya kazi kwa woga ni kudumaza uwezo wa kufikiri. Hivi anayefanyaga haya maamuzi ni wao basata kama bodi au jamaa tu linaamka alafu haliipendi biti labda linasema fungia huu wimbo?
Wimbo wa kawaida sana huu kuufungia. Labda mnifahamiashe yawezekana kuna maneno sijayasikia, una kasoro gani?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom