afadhali viazi, ningelitoa proper description lkn wananipiga ban!BASATA wote ni viazi
Nenda YouTube kabla haujafutwa.Mwenye nao tunaomba atuwekee tafadhali wengine hatuujui ,tunaomba sana ..
Wangemshirikisha diamond platinumz wasingepigwa piniBASATA tafadhalini tuachie tuburudike na hili goma, jamaa wameng'ata na kupuliza ndani yake View attachment 828439
Jamaa wanauzi zana kwakweliafadhali viazi, ningelitoa proper description lkn wananipiga ban!
WAPUMBAVU SANA !!!!!!!!!!!!!!!!BASATA bhana
Goma tushalisikiliza na ujumbe ushafika wao ndo wanaleta uzushi wao
Ukisikia kupatwa kwa Camera ndio huku sasa.Naibu waziri wa michezo na sanaaView attachment 828623
Goma lipo yutyubuBASATA bhana
Goma tushalisikiliza na ujumbe ushafika wao ndo wanaleta uzushi wao
Na youtube,eti wanaiblock.Goma lipo yutyubu
Binafsi naona BASATA kama wangefumuliwa na kuundwa upya Kisha kubadilisha mfumo wa utendaji kaziHivi BASAT hawan Projects kama vile Workshops za kutoa Elimu kwa wasanii etc? wanasubiri Nyimbo tu zikitoka ndo wafanye majadiliano au kufungia? Tunaomba mwenye katiba ya BASAT aiweke hapa tujue Majukumu yao.