Yametimia: BASATA yaupiga pingu wimbo wa ROSTAM(Roma na Stamina) unaoitwa Parapanda

Yametimia: BASATA yaupiga pingu wimbo wa ROSTAM(Roma na Stamina) unaoitwa Parapanda

Status
Not open for further replies.
Mbona umeandika haraka Wakati vijana ndo kwanza wameitwa wajadili mustakabali wa wimbo
 
Naibu waziri wa michezo na sanaa
Screenshot_20180805-181729.jpg
 
Hivi BASAT hawan Projects kama vile Workshops za kutoa Elimu kwa wasanii etc? wanasubiri Nyimbo tu zikitoka ndo wafanye majadiliano au kufungia? Tunaomba mwenye katiba ya BASAT aiweke hapa tujue Majukumu yao.
Binafsi naona BASATA kama wangefumuliwa na kuundwa upya Kisha kubadilisha mfumo wa utendaji kazi
 
badala ya kuufungia kwangwaru wao wanafungia Parapanda.
 
Hivi pale Basata kuna kiongozi hata mmoja alishawahi kuimba Kwaya au Kaswida[emoji41]
 
Hawa wasanii ikifika 2020 tutawaskia ccm mbele kwa mbele so acha BASATA ifanye yao.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom