Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usikilize vizuriWakiufungia tutaandamana mbona hakuna baya lolote?
Una nini?? nimesikiliza vzr. Niambie mstari wwt mbayaUsikilize vizuri
Heading ya nyimbo yenyewe inadharilishaUna nini?? nimesikiliza vzr. Niambie mstari wwt mbaya
Ubunifu wa maswali na majibu umetulia.Compare na shairi - is my team ploughingDah roma ni kichwa balaaa
Ubunifu wa maswali na majibu umetulia.Compare na shairi - is my team ploughingDah roma ni kichwa balaaa
Hilo hawakuwa wamelifikiria kabisaHu wimbo sasa umepewa promo isiyomithilika,utatambaa sana mitandaoni. Hata ambao si wasikilizaji wa Roma watataka wausikie wimbo gani uliopigwa marufuku.