Yametimia: BASATA yaupiga pingu wimbo wa ROSTAM(Roma na Stamina) unaoitwa Parapanda

Yametimia: BASATA yaupiga pingu wimbo wa ROSTAM(Roma na Stamina) unaoitwa Parapanda

Status
Not open for further replies.
basata iwe inatunga nyimbo na kuwapa wasanii waimbe hii itasaidia sana
 
hv inakuaje basata kufungia nyimbo hlf tamko toka majuu(rais) inasema wimbo ni mzuri na uachiliwe ?
 
Kuna line inasema “kwani wanaosimamia sanaa ni nani? Kuna baraza lakini wasanii wanaishi uwani” nadhani wamewaita kujadiliana na kuona kama kuna nafasi ya wasanii kuishi sebuleni
 
BASATA waanze kutunga mashairi na kuyagawa bure kwa wasanii. Yani wasanii wawe kama wamekariri ngonjera. Wale mlosoma Sunday school mnaelewa.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom