Yametimia: Shilole kiuno ''Shishi Baby'' ampa kibuti Nuhu Mziwanda

Yametimia: Shilole kiuno ''Shishi Baby'' ampa kibuti Nuhu Mziwanda

Shilole alkuwa anambaha mziwanda
 
kutimuliwa ni haki yake kwani hakuona wanawake wengine mtaani tena wapo wazuri kuliko huyo shilole. hahahahahaha alipenda kwasababu ya jina ona sasa
 
Leo kupitia akaunti yake ya instagram amesema anampenda sana baby wake nuhu mziwanda.
 
Hee...si nilisikia dogo akilalama ameshindiliwa mangumi mazito kama ya Mywether na kung'atwa ng'atwa mwili mzima?dogo anaacha kutafuta pesa anategemea kufugwa...anadhani huyo shishi anatoa wapi pesa bila kugegedwa
 
Ivi siku shilole akimkuta binti yake na sugar dady atalalamika kweli?ananichefua sana
 
Back
Top Bottom