Super Handsome
JF-Expert Member
- Jul 16, 2013
- 3,844
- 6,448
Hee...si nilisikia dogo akilalama ameshindiliwa mangumi mazito kama ya Mywether na kung'atwa ng'atwa mwili mzima?dogo anaacha kutafuta pesa anategemea kufugwa...anadhani huyo shishi anatoa wapi pesa bila kugegedwa
Kwa akili za
shilole wala usishangae mana ukistaajabu ya Dida wa ezden itakua ya huyu
ndumi la kuwili..japo nililamba mzigo lakini kichwani kamasi
tupu..anapenda kwl ma hb wadogo dogo japo nina umbo kubwa kimtindo!
Washkuru mungu kuna camera360 otherwise Dida, Diva, Shilole, Sintah
wangesha kimbia Insta..mana sintah ile mitungi ya gesi pale kifuani
imesha legea kila akii boost wapi..ngoma ina yeya! Chezea menopause
ww!
Nimeolewa ndoa tatu na waarabu, unategemea nitaacha kuvaa diapers!!!
Mwehu we
Nitumie na mimi hayo maubuyuu niyaone,
Leo kupitia akaunti yake ya instagram amesema anampenda sana baby wake nuhu mziwanda.
poa jana skua jf nakutumia leo
Na mie mate yananitoka...nitumie huo ubuyuuu
Mahaba nitwange kama Piston za SCANIA HAYOIle tattoo aliyojichora mkononi kaiacha kwa Shilole au kaondoka nayo?
Mahaba nitwange kama Piston za SCANIA HAYO
Ile tattoo aliyojichora mkononi kaiacha kwa Shilole au kaondoka nayo?
Alichosema Shilole 'shishi baby' kwenye Instagram
Why does society make stupid people famous?