Tunakopa kupita kiasi huku vyanzo vyetu vya mapato vikiwa ni vile vile!! Na sisi tutafika huko kabla hata miaka 3 ijayo haijaisha.Umoja wa mataifa unahamu na Mseveni ka Wali maarage baada ya wiki utasikia vikwazo
Hiyo ndiyo jambo la msingi maana ukimuona mwenzako ananyolewaSi huwa wanasema hivyo halaf yakija tokea waanze kusema mabepari wametuibia.
Ningeoenda kuishauro serikali iwe makini na hii mikopo. Kama wanakopa kwa pupa ili kufurahisha wachache basi wajue wataiingiza nchi pabaya..