sanycide New Member Joined Feb 7, 2013 Posts 1 Reaction score 0 Feb 18, 2013 #1 mmeyasubiri kwa hamu tayari wamewaleteeni tuambien ufaulu wenu
DR. MWAKABANJE JF-Expert Member Joined Nov 7, 2012 Posts 1,976 Reaction score 3,130 Feb 18, 2013 #2 kwa ujumla mi naona hali zao ni mbaya, Necta nao wametuanzishia utaratibu wa kuweka namba zao da inakuwa ngumu kuwaona hata unaowafahamu, anyway nadhani watakuja hapa kuhitaji msaada wa kimawazo!
kwa ujumla mi naona hali zao ni mbaya, Necta nao wametuanzishia utaratibu wa kuweka namba zao da inakuwa ngumu kuwaona hata unaowafahamu, anyway nadhani watakuja hapa kuhitaji msaada wa kimawazo!
akenajo JF-Expert Member Joined Oct 21, 2012 Posts 1,634 Reaction score 613 Feb 18, 2013 #3 Tumefeliiii sasa ngoja tukachinje tuuuuu
rich junior New Member Joined Feb 7, 2013 Posts 1 Reaction score 0 Feb 18, 2013 #5 bado hata hayafunguka so we are on waiting
Mwandwanga JF-Expert Member Joined Dec 2, 2011 Posts 3,059 Reaction score 1,572 Feb 24, 2013 #6 FrankEM said: Dv 1 ya 17 Click to expand... pole sana ndugu......